Steven Nguma JF-Expert Member Dec 6, 2016 1,074 1,143 Apr 27, 2019 #21 Smart911 said: Ujinga unaanzaga kwao... ukiletwa huku, utashangaa tunaupokea... Cc: mahondaw Click to expand... Tena tunaweka na bango kwa hisani ya watu wa.................
Smart911 said: Ujinga unaanzaga kwao... ukiletwa huku, utashangaa tunaupokea... Cc: mahondaw Click to expand... Tena tunaweka na bango kwa hisani ya watu wa.................
Maarifa JF-Expert Member Nov 23, 2006 4,568 2,911 Apr 27, 2019 #22 Ziroseventytwo said: Boda boda london! Ndio kwanza naisikia toka kwako. Mie nilijua usafiri wao ni train na zile basi mjini yaani uda za london... Click to expand... Ana maana pikipiki
Ziroseventytwo said: Boda boda london! Ndio kwanza naisikia toka kwako. Mie nilijua usafiri wao ni train na zile basi mjini yaani uda za london... Click to expand... Ana maana pikipiki
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 30,749 37,355 Apr 27, 2019 #23 Ukitaka ujione mjinga bongo,kwapua halafu kimbia, hata ukiiingia kwenye ubarozi wa watu, wanakufuata humo humo ndani.
Ukitaka ujione mjinga bongo,kwapua halafu kimbia, hata ukiiingia kwenye ubarozi wa watu, wanakufuata humo humo ndani.
simbamzeewamwakidila JF-Expert Member May 4, 2013 1,447 378 Apr 27, 2019 #24 Azizi Mussa said: Kumbe London nako kuna vibaka! Dah Click to expand... Ni hatari huko mkuu