Sheria ya road license

TM65TZ

Member
Jul 20, 2009
15
0
Nataka kujua kama kwa mfano gari imekufa miaka kama mitatu kwa sababu spare ni ngumu kupata au nguvu ya kufufua gari hili ni ndogo :
je,ni lazima kulipia ushuru ya road license (hata kama hutembe barabarani!)
au namna gani unaweza kukwepa kulipia road license kama unaweza kufanya na bima.
Na vile vile je, kama unanunua gari ambayo hayalipia road license (kwa mfano imedump kama scrap) kwa miaka vipi, sheria inasemaje?? lazima utalipa zile miaka au kama unabadlisha jina unaanza tena muda mpya??
Nani anaweza kunishauri vizuri, unajua watumishi ya TRA hawana msaada au vipi, wantaka pesa ya serikali na vile vile mfukoni wao tu !!!!
 
Unaitaaarifu TRA kwa barua kuelezea kuwa gari haitembei, Kwa maelezo zaidi waone TRA, or subiri kidogo people may respond.
 
Andika barua kueleza TRA kwamba kwa sasa gari ipo juu ya mawe. Huo ndo utaratibu!
 
Back
Top Bottom