Sheria ya Nyumba ya kupanga

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,384
979
Sheria za Nyumba za kupanga ukitaka kumfukuza mpangaji wako kwenye Nyumba ni mambo gani ya kuzingatia
 
mfahamishe miezi mitatu kabla ya kodi kuisha muandikie notisi ya kusitisisha upqngishaji una haki za kutokueleza sababu
 
Mtaarifu kisha mpe muda wa kutosha ili aondoke bila kinyongo chochote, zingatia hiki nlichokuambia
 
mwambie ndani wii mbili benki wanakuja kuuza. aondoke wasije wakamuaibisha.
 
Back
Top Bottom