3-phase
Member
- Jun 3, 2020
- 13
- 9
Ni tumaini langu kwamba wana JF mtakuwa mpo swalaama, hata mimi new member humu ndani ila ni new member kiusajili tu, naweza sema sababu nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa threads za JF toka enzi za kina Nyani Ngabu, King'ati, General Garadudu etc.
Lets go on topic, nimeona thread nying sana za kumpiga vita Single Mother ila nikafanya kareseach fulani hivi street nikagundua wengi ambao wapo na hiyo attitude ni vijana ambao bado hawajao na hawafahamu nini maana ya ndoa.
Sasa ni hivi zifuatazo ni njia sahihi kabisa za kuweza kuishi na single mama bila hata stress za aina yeyote basically katika swala zima la kuwa na mahusiano ya kimapenzi na baba mtoto.
1: Muombe huyo mwanamke mtoto akaishi kwa bibi yake halafu huduma zote atazipata akiwa huko. Ikishindikana;
2: Muishi naye pamoja huyo mtoto lakini huduma zote ziwe juu yako (baba mlezi) i.e yaan hata simu ya baba mzazi ianze kupitia kwako kwanza.
Naombeni kuwasilisha na mwenye nyingne zaidi aongzee. Msistizo mimi new member so kama kuna mistake yeyote I have done msamaha wenu uchukue nafasi. About typing error that is not easy, kikubwa content.