Sheria ya KUBAKA na kuambukiza VIRUSI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya KUBAKA na kuambukiza VIRUSI

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Aloysius, Aug 3, 2011.

 1. Aloysius

  Aloysius Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna wanao fikiri kuwa kubaka ni kubaka tu hata kama aliyebaka kamuabukiza virusi aliyembaka, lakini pale mtu anapo ambukiza virusi huwa na makosa mawili. Kubaka na kuambukiza virusi vya UKIMWI kwa makusudi. wewe unafkiri nini?
   
Loading...