Sheria ya kodi ya laini ya simu imewahi kusitishwa na Rais Kikwete, tuambiwe kwanini imerudi?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,092
Mwaka 2013 tumewahi kuwa kwenye sintofahamu kama hiihii ya wananchi kulaani lengo la serikali kutoza kodi kwenye laini ya Simu.

Baada ya kelele nyingi za wananchi, rais Kikwete alifuta kodi hii.

Sasa najiuluza je serikali haina kumbukumbu, au waliliweka hili jambo chini ya kapeti ili watu watulie kwanza?

Ile kodi ililenga kuipatia serikali bilion 178, Ukiangalia gharama za hii kodi iliyopigiwa kelele ni ndogo kuliko bei ya Dege moja la Dreamliner au Airbus ambayo bei zake zinazidi bilion 400. Hii itupe picha kuwa Hii midege tuliyonayo ilivyotutia umasikini.
Halafu cha ajabu serikali ya Samia nayo inajitapa kuongeza manunuzi ya Ndege nyingine TANO. Wanatutia umasikini kwa miradi pasua kichwa huku wanaendelea kutukamua kodi ambazo zimeshathibitika kututia umasikini.

Msome Kikwete hapa chini, akibatilisha tozo ya laini za simu mwaka 2013

IMG-20210720-WA0137.jpg
 
Waliotangulia waliambiwa hakufanya lolote

Sasa ndio unajionea nani hakufanya lolote
 
Mwaka 2013 tumewahi kuwa kwenye sintofahamu kama hiihii ya wananchi kulaani lengo la serikali kutoza kodi kwenye laini ya Simu.

Baada ya kelele nyingi za wananchi, rais Kikwete alifuta kodi hii.

Sasa najiuluza je serikali haina kumbukumbu, au waliliweka hili jambo chini ya kapeti ili watu watulie kwanza?

Ile kodi ililenga kuipatia serikali bilion 178, Ukiangalia gharama za hii kodi iliyopigiwa kelele ni ndogo kuliko bei ya Dege moja la Dreamliner au Airbus ambayo bei zake zinazidi bilion 400. Hii itupe picha kuwa Hii midege tuliyonayo ilivyotutia umasikini.
Halafu cha ajabu serikali ya Samia nayo inajitapa kuongeza manunuzi ya Ndege nyingine TANO. Wanatutia umasikini kwa miradi pasua kichwa huku wanaendelea kutukamua kodi ambazo zimeshathibitika kututia umasikini.

Msome Kikwete hapa chini, akibatilisha tozo ya laini za simu mwaka 2013

View attachment 1861044
Yaani wangeweka mfano kodi ya elf q kwa line ya simu kila mwezi binafsi nisingelalamika..Ningeona iko fair. Lakini hizi tozo ama niziite kodi za kutuma pesa zinaweza kukugharimu hadi laki 3 kwa mwezi.Bora hata wangeweka tu hii kodi ya 1,000 per month. Serikali imeuoiga mwingi sana..inataka pesa ya kutolea na sisi kina dada tunataka ya kutolea
 
Back
Top Bottom