Serikali ilitunga sheria kuwa mtumishi wa umma lazima abakize 1/3 ya mshahara wake, benki na taasisi zingine zisikate zaidi ya 1/3 ya mshahara wa mtumishi wa umma.
Lakini cha kushangaza serikali yenyewe imewakata watumishi mishahara yao chini ya 1/3 maanake ni kwamba sheria hii imekiukwa na kuvunjwa, sasa ikiwa serikali unashindwa kulinda sheria ambazo imetunga sisi wananchi tutafanya nini?