"Sheria ni Msumeno"

Sawa.Tusubiri utabiri wako utakavyopambana na ukweli na haki.
Mimi sitabiri wala sio mtabiri.
Bali unapaswa utambue kuwa Haki ni Haki tu, inaweza kuwa kifungo jela au kuachiwa huru.
tatizo la wafuasi wa Mbowe kwa wao ili waone kuwa mbowe katendewa Haki ni kuachiwa huru tu! sio kifungo!!
.
Haki ni kukubali kupokea matokeo yoyote yale yaliyo amuliwa na Mahakama.
nafahamu kuwa wafuasi wa Mbowe sio kwamba hawalijui hilo ila wanafanya makusudi ili kuishinikiza mahakama imuachie huru bila kuzingatia sheria!!
hilo sio ktk utawala wa sheria.
 
Niliandika,sawa.
 
Ugaidi wa wapinzani wa tz turejee case ya rwakatare.
 
Wewe unaishi TANZANIA?
Mwanahlisi
Mawio
Yamefungiwa kwa sababu gani haswa.
Rostam azizi
Lowasa ( walimuita Jpm lumumba alienda? Alienda kama nani na alikuwa jabl l wakati huo?) Ulishawahi kujiuliza?
Nape nauye
January jr
Makamba mkubwa
Unwajua?
Walipaswa kuomba msamaha kwa Jpm Walikosea nn???
Jifunze kutafsir mzee. Acha kubashiri mambo
Membe anarudi?
Umekuja lini mjini???
 
Sheria ni msumeno.
kazi ya msumeno unakata mbele na nyuma.
bila kujali ni nani anakatwa.
sote tuko sawa mbele ya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…