Sheria msumeno lini tutaiga?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria msumeno lini tutaiga??

Discussion in 'International Forum' started by alibaba, Feb 9, 2010.

 1. a

  alibaba Senior Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Met Commander Ali Dizaei jailed for corruption


  [​IMG] [​IMG]
  [​IMG]

  Met commander's 'abuse of power'
  Profile: Ali Dizaei

  Metropolitan Police Commander Ali Dizaei has been sentenced to four years for assaulting and falsely arresting a man in a dispute over £600.
  Southwark Crown Court was told Waad Al-Baghdadi was arrested by Dizaei in a row over work on the officer's website.
  Dizaei, 47, was convicted of both misconduct in a public office and perverting the course of justice.
  Prosecutor Peter Wright QC said he was guilty of a "wholesale abuse of power" motivated by self-interest and pride.
  Dizaei was ordered to spend two years in prison and two years on licence.
  Mr Justice Simon said the sentence included a deterrent element "to send a clear message that police officers of whatever rank are not above the law".
  The judge told Dizaei: "You knew how the system worked and you thought you would never be discovered.
  "You crossed that line and now stand convicted of these offences"
  Nauliza:.
  HOW MANY HAVE CROSSED THAT LINE AND NOTHING HAPPENED??
  WANGAPIWAMEVUKA MSTARI NA HAWAFANYWI LOLOTE??
   
 2. M

  Makoko in UK Member

  #2
  Feb 10, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alibaba,
  Its more than too many who crossed that line, its sad, very sad to see and say that nothing ever happen!! and may be nothing will.
  Je tutaendelea na mila na utamaduni huo wa kutoheshimu na kuzitekeleza sheria mpaka lini?Na kinachokera zaidi ni kuumia kwa wananchi wa kawaida kwani katika hali hii ya upindaji sheria wenye Nyadhifa na wenye fedha wanakuwa na bei ya kununua sheria mikononi mwao.
  Hebu liangalie Wimbi la Ufisadi, pekee linaumiza kichwa kabla hujatafuta mengine, ni vigogo watupu waliomo kwenye mlolongo majina wote twayajua sina haja ya kutaja.
  Hali hiyo inakuacha ukubaliane na walewanaodai kuwa kuna baadhi yetu (Watanzania) wako juu ya sheria (above the law) kwa sababu serekali imeshindwa kudhibiti utekelezwaji wa sheria, kama vile wananchi ambavyo wangetarajia na sheria yenyewe inavyokusudia. Udhifu huo unazifanya nguvu za Rais alizopewa na katiba zijifiche na kuiacha nchi ionekane kama haina kiongozi mwenye mamlaka ya mwisho.
  Hatari ya ukosefu wa maamuzi ya mamlaka ya mwisho ndio yanayowashawishi Wananchi kuchukua sheria mikononi mwao kwa maamuzi mabaya au mazuri.Ikifikia hapo ni kuwa Dira waliyoitegemea wamegundua kuwa imevunjika Kamani, hivyo kwa kuchelea kupelekwa mchomo kila mmoja atabuni safari yake na huo ndio utakuwa Mwanzo wa Mwisho wa mshikamano wa Taifa na pengine upotofu wa Anani (Mungu aepushie mbali) .
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,776
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  hujui kwa nn waliopo jela wote maskini!!
   
 4. a

  alibaba Senior Member

  #4
  Feb 11, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maria,
  Wengi wanajua kwa nini, si njaa tu inayosababisha kuwatia hatiani na uonevu huchukua nafasi kubwa pia. Kinachogomba ni hawa majambazi wetu wa kitaifa/wakimataifa wanatuibia mchana kweupe and nobody say or do nothing, the only talk is here in JF. Na hiyo ndio tofauti Kamanda huyo wa Polisi kapewa alichostahili, sasa hivi baadhi ya Wabunge wa Uingereza pua zinaelekea Mahakamani. Lini tuakuwa na Uti wa mgongo wa kusimama na Sheria?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...