Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,483
Baada ya Maalim Seif kuhama kabla ya kusainiwa, Sheria kandamizi ya Vyama vya Siasa inaweza ikatupwa
Thread starterErythrocyte Start dateMonday at 3:06 PM
1…7 Next
ErythrocyteJF-Expert Member
Monday at 3:06 PM
#1
Moja ya sababu zilizowafanya wenye mamlaka kupeleka huu muswada wa kinyama bungeni ilikuwa kuwadhibiti wanasiasa wanaowaogopa kupata platform mpya ya kufanyia siasa , hasa baada ya kuwawekea Mamluki kwenye vyama vyao vya asili , Maalim Seif ni mmoja wa wanasiasa waliopangwa kudhibitiwa na sheria hii , amekwepa vihunzi .
Taarifa zinaonyesha kwamba wapanga njama wamepigwa na bumbuwazi lisilosemeka ! binafsi naunga mkono mpango huu wa Maalim na mamilioni ya wana cuf , hasa wa kuingia ACT WAZALENDO ili kuongeza " viwanja vya kupambana " na ccm , maana sasa hata ule mpango aliotumwa Mutungi wa Kuifuta Chadema yasemekana umeparalaizi maana lengo la kumdhibiti " Rais halali " wa Zanzibar halitatimia , hii ni chenga ya mwili !
Kila la heri Maalim Seif
Likes:FORTALEZA, Gavana, Brain-app and 55 others
BAFAJF-Expert Member
Monday at 3:18 PM
#2
Mkuu nimeukubali uchambuzi wako, nchi hii ilihitaji upinzani wenye nguvu na ukawa yenye nguvu na watu makini naamini collabo hii itafanya ukawa iliokamilika zaidi
Likes:FORTALEZA, Brain-app, Halaiser and 29 others
ErythrocyteJF-Expert Member
Monday at 3:24 PM
#3
BAFA said:

kuna watu wanadhani jambo hili limetokea kwa bahati mbaya !
Likes:FORTALEZA, Gavana, i-77 and 25 others
BAFAJF-Expert Member
Monday at 3:26 PM
#4
Erythrocyte said:

Serikali wamebet kwa lipumba na inakula kwao, jambo ambalo hawajui kwa sasa upinzani unazidi kuimarika ogopa ulikuwa unapigana na cdm tu sasa itabdi ipigane na act wazalendo pia na Hapo ndipo
Serikali wamebet kwa lipumba na inakula kwao, jambo ambalo hawajui kwa sasa upinzani unazidi kuimarika ogopa ulikuwa unapigana na cdm tu sasa itabdi ipigane na act wazalendo pia na Hapo ndipo jiwe atajua alidanganywa na mutungi kubet kwa lipumba
ni move nzuri sana

Kila la
Maalim Seif "kacheza pele" sana aisee.... sasa "njaa kali" Lipumba atabaki na CUF feki yenye wanachama wasiozidi hata laki moja!!
Lakini ikumbukwe pia hii collabo inaweza ikaleta Ukawa dhaifu mno maana ushirikiano baina ya chadema na Cuf utapungua,na pia kutakua na uviziano pia baina ya Act na chadema via Cuf
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Cuf iko wapi ?
Likes:Brain-app, GHIBUU, RKavura and 4 others
ErythrocyteJF-Expert Member
Monday at 3:29 PM
#9
M-mbabe said:

Usaliti ni laana .
Likes:GHIBUU, RKavura, The August and 2 others
The AugustJF-Expert Member
Monday at 3:30 PM

Mkuu uko Tanzania kweli, CUF ni maaalim seif tu sasa hvi ni lipumba, Kambaya na wabunge wa 6 wa viti maalumu na jengo la Buguruni
Timing ndio kikuu hapa tulishasema ikipita June 2019 hii issue ya CUF haijapata maamuzi hasa kutoka CUF Maalim, basi kundi hili lingepoteza kabisa. Msajili na wakuu wake wana nia moja tu nayo ni kuua CUF ifutike kwenye uchaguzi ujao. Wanajua hawawezi kuja na Jecha mwingine hivyo karata yao ilikuwa kumzuia Maalim na wafuasi wake wasiwe na wagombea wanao tambulika. Kitu kizuri kesi hii imewalazimisha CUF Maalim kutenda. Ni wazi huu si uamuzi wa siku moja walikuwa wanasubiri matokeao ya kesi. Maalim ni mjivi wa siasa amechuja kwenda CDM au Chama Kingine na isingekuwa rahisi kwenda chadema ingebidi wafanye mazungumzo marefu ambayo yangechukua muda. ACT ni uchaguzi mzuri ina watu Bara na Maalim ataiimarisha Zanzibar. Lakini mfa maji hakosi vituko tena vibaya sana hivyo tutaona mambo ya ajabu ajabu toka CHAMADOLA yenye nia ya kuifutilia mbali ACT sasa kwani wao wasiemtaka ni kama kaja. Wanajua sasa kama ACT itachukua uraisi wa Zanzibar basi lazima tuwe na muungano wa aina tofauti na hapo CCM itakuwa mashakani. Hivyo tutarajie mambo mazito kutokea. Kwa CDM huu ni muda muafaka nao kusimama na kueleweka na halaiki ni nini wanasimamia. Waanze na utawala bora wa sheria na haki, Waongeze na kuiongelea kwa nguvu ajenda ya maendeleo.
UPINZANI IMARA NDIO NGUZO YA MAENDELEO TANZANIA.