Sheria kali zichukuliwe dhidi ya wabakaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria kali zichukuliwe dhidi ya wabakaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Solomon David, Sep 16, 2010.

 1. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa inabidi adhabu yao iwe mara mbili ya adhabu ya wabakaji wasio viongozi wa dini:

   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Si kwamba sheria kali kwa wabakaji wote bila kujali nafasi zao katika jamii? Sharia inasemaje kwenye hili?
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  Nafkiri ingesomeka hivi "sheria kali zuchuliwe kwa wabakaji"
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  sheria kali zichukuliwe dhidi ya wachungaji wabakaji
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mchungaji wa KKKT mbaroni kwa ubakaji


  Polisi mkoani Singida linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wa Usharika wa Igengu katika Dayosisi ya Kati, kwa tuhuma ya kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 18 (jina tunalo) na kumsababishia maumivu katika sehemu zake za siri.
  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Celina Kaluba, alimtaja mchungaji huyo kuwa ni Japhet Kidindima (37).
  Mchungaji Kidindima, ambaye mbali ya kuwa mchungaji wa Usharika wa Igengu kwa miaka saba sasa, pia ni mwanafunzi wa Chuo cha Theolojia cha Kiomboi, wilayani Iramba.
  Kamanda Kaluba alisema kuwa tukio hilo lilitokea Jumatatu iliyopita saa 9:45 alasiri, kwenye vichaka vilivyopo kati ya vijiji vya Igengu na Ibaga katika tarafa ya Kirumi, wilayani Iramba.
  Kwa mujibu wa Kamanda Kaluba, mtuhumiwa huyo alifanikisha njama zake za ubakaji baada ya kumdanganya msichana huyo kuwa anataka kumtafutia kazi za ndani jijini Dar es Salaam.
  Kamanda alisema licha ya kumuahidi kumtafutia ajira, pia Mchungaji huyo alimuahidi msichana kuyo kumsafirisha hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kufanya kazi hiyo.
  Alisema kuwa safari ya kwenda kijiji jirani cha Ibaga ilianza kwa miguu ambako ndipo ulipo usafiri wa basi, lakini walipofika katikati ya vijiji hivyo, Mchungaji Kidindima alimbaka msichana huyo kwenye vichaka.
  Alifafanua kuwa baada ya kumbaka, waliendelea na safari yao hadi kwenye kituo cha mabasi kilichopo kijiji cha Ibaga na hapo ndipo mtuhumiwa alifanikiwa kumtelekeza msichana huyo akiwa haelewi cha kufanya.
  Kamanda Kaluba alisema kuwa baadaye msichana huyo aliamua kuripoti tukio hilo katika kituo cha polisi ikilichopo katika kijiji cha Ibaga kesho yake saa 7:30 mchana na jitihada za polisi kumsaka mtuhumiwa huyo zilianza.
  Kamanda Kaluba alisema polisi walifanikiwa kumkamata Mchungaji Kidindima jana saa tano asubuhi wakati akiwa masomoni kwenye chuo cha Biblia mjini Kiomboi.
  Kamanda huyo alisema kuwa upelelezi wa tukio hilo unaendelea ili mtuhumiwa afikishwe mahakamani.

  CHANZO: NIPASHE
   
 6. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  kweli mkuu watu hawa hatari sana halafu kibaya zaidi wanafichiana madhambi hebu angalia hapo chini:

   
 7. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  sharia inasema wapigwe mawe hadi kufa
   
 8. senator

  senator JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hii ipo sawa mana vinginevyo utaleta mjadala wa kidini hapa..naona mzizimkavu kaanza mambo!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ohhhh mai mai sharia ni ngumu nimecopy hii sehemu, 120 lashes and stoned to death! Jamaa na sharia ila kwa wanawake Mashekhe na Ustaadhi wabakaji sharia no

  Evidence

  1996-MAR: Afghanistan: Jamila, was found guilty of trying to leave the country with such a man. She was caught and stoned to death on 1996-MAR-28.

  1996-NOV: Afghanistan: Under the previous, Taliban, regime, a woman, Nurbibi, 40, and a man Turylai, 38, were stoned to death in a public assembly using palm-sized stones. They were found guilty of non-marital sex. Turylai was dead within ten minutes, but Nurbibi had to be finished off by dropping a large rock on her head.

  2000-FEB: United Arab Emirates: Kartini binti Karim, (a.k.a. Ms. Karteen Karikanderan), an unmarried citizen of Indonesia, was working as a housemaid in the United Arab Emirates when her pregnancy was detected. She and a man -- a citizen of India -- were charged with adultery. She was convicted; he fled the country before he could be arrested. She was placed on trial without a lawyer or a translator, Under the UAE's form of Sharia, she was sentenced to death by stoning.


  2000-AUG: A woman, "Amina Abdullahi is sentenced to 100 lashes in the state of Zamfara for having premarital sex

  2000-NOV: Attine Tanko, 18, is found guilty of having pre-marital sex out of wedlock. She was discovered to be pregnant. Her sentence of 100 lashes was deferred for up to two years after the birth, so that she could breastfeed her baby. Her boyfriend, 23, was flogged 100 times and given jail time. 4

  2001-SEP: Nigeria: A teenage single mother, Bariya Ibrahim Magazu claimed at trial that she was raped by three men. The court assumed that she was guilty, because she could not prove that her father pressured her to engage in sexual activity with the men. She was found guilty of two offenses: having pre-marital sex, and bringing false charges against the men that she claimed were responsible. Her sentence was 180 lashes.

  2001-OCT: Nigeria: Safiya Hussaini Tungar-Tudu, a 30-year-old pregnant woman, had asked a Sharia court in Sokoto state to force a man that she alleged had raped her, to pay for her daughter's naming ceremony. The court refused, and then charged her with engaging in sexual intercourse outside of marriage. She was sentenced to be stoned to death. The man that she allegedly had sex with was freed by the court for lack of evidence. She successfully appealed the conviction. An appeal judge overturned her conviction, stating that there were very serious errors in her arrest and trial. She had not been given any legal representation, and the court had failed to establish the basic facts of the case. Above all, the alleged act of adultery had taken place before the Sharia law was implemented in the state. She was freed, and planned to remarry her former husband.

  2001-DEC: Sudan: An 18 year-old pregnant woman, Abok Alfa Akok, was accused by her husband of adultery. She claimed that she had been raped. The man co-accused with Abok was not tried due to lack of evidence. She was tried, even though the country claims that Sharia would not be applied to non-Muslims. In Sudan, a married person found guilty of adultery is executed by stoning; an unmarried person receives 100 lashes. She had no lawyer, and was unaware of her rights during the trial. She could not speak or understand Arabic, the language of the court. The Court of Appeal in Southern Darfur overturned the death sentence and sent the case back to the lawyer court which set punishment at 75 lashes. By immediately executing the sentence, she was denied her right to obtain legal advice and/or an launch an appeal prior to the beating.

  2002-MAY: Nigeria: A man, Sarimu Mohammed, 50, was sentenced to be stoned to death by a court in Jigawa for raping a nine-year-old girl.
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  hivi hujiulizi kwa nini wote wanawake hivi sharia za kiislam ni kwa ajili ya wanawake tu??!! ofcoz source yako itakuwa ni vile vi group visivoipenda hii DINI ISYO NA SHAKA NDANI YAKE "
  MZINIFU ANAPIGWA MAWE HADI KUFA KAMA YUMO KWENYE NDOA, KAMA HAYUMO KWENYE NDOA BAKORA 100 HADHARANI WE R PROUD NA HII SHARIA SIONI TATIZO
   
 11. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Rev Masanilo,
  Hizo ndiyo hukumu za wazinzi alizotaka kujuwa Solomo David...unachopotosha mchungaji kudai kuwa zinawahusu wanawake tu...si kweli...hivi ninanvyoandika kuna watu Iran (wanaume) wanachapwa bakora kwa kulewa hadharani tu (achilia kama wangezini)...wapo walionyongwa hadharani kwa kubaka (wanaume wengi tu)...hii sheria naipenda sana...maana kama utatizama takwimu za maambukizi ya Ukimwi, nchi zinazofuata sheria hizi zina viwango karibu sifuri vya maambukizi nyie mnaopelekana mahakamani kwa kuibiana wake zenu mnaona takwimu za maambukizi zilivyo? zinatisha Mkuu!
  Ninachowataka na ndgu zetu wakatoliki wasinyamazie, mtu anabaka watoto 200 halafu anafichiwa makosa ni mbaya sana, jana namuangalia papa Benedict 16, anavyokaribishwa Uingereza na mabango ya kashfa za uzinzi ni aibu fanyeni kama wanavyofanya waislamu...ukizini unauwawa au unakula bakora...ni mafundisho ya vitabu vyote vitukufu vya Mungu.
   
Loading...