Sheria inadilishwe,Fungu la ikulu likaguliwe na CAG!

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,051
12,560
Mi naona ni wakati muafaka kila pesa ya mlipa kodi ikakuguliwe matumizi yak na CAG!
Kuna Bajeti ya matumizi Ikulu,hili fungu huwa halikaguliwi na CAG!
Yaani hata Rais akiamua amgawie mtu yeyote,hakuna wa kumuuliza!
Kama ambavyo tuko shapu kupeleka sheria kuwashughulikia wananchi,kama sheria ya takwimu na makosa ya kimtandao,basi ni wakati muafaka wa bunge kuona umuhimu wa fedha hizo kukaguliwa!
Waliotunga sheria hizi walikuwa wanawaza nini?
-Mtu atengewe bajeti halafu hakuna ukaguzi,ni anatumia anavyotaka!No way
-Mtu katungiwa sheria,hata aganye kosa gani akiwa madarakani,hatashitakiwa!
 
Back
Top Bottom