marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,113
- 1,952
Nyingi huwa zinadadavulika. Usitosheke!huwa nasikiaga tuu kumbe ndo hizo..
asante.
hahahaa ile ya refa kuitwa akahakikishe uhalali wa maamuzi aliyoyafanya, utakuta alitenga penati akienda kwenye vile vitvii anarudi anasema siyo penati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wananikera maswala yao ya vile TV. Sisi wengine timu zetu mbovu kweli.
Tunategemea hayo hayo magoli za kuzulumu ili tushinde mechi. Halafu wamebana.
Wakati wa kupiga penati wachezaji wanaosimama nyuma ya mpiga penati husima kwenye ule msitari wa nusu duara ili kumpa nafasi ya kutosha mpigaji na pigo hili ni lile la ndani ya dakika za mchezo.Ule nusu mduara unaochorwa nje ya mstari wa kumi na nane una kazi gani ?
Ule nusu mduara unaoanzia mbele katikati ya eneo la kujidai la mstatili la golikipa.