Sherehe za Uhuru zinaahirishwa lakini Mwenge wa Uhuru unakimbizwa

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
1621318381764.png

Ninajaribu kuwaza siku tuliyopata Uhuru Mwenge uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro na kuitwa Mwenge wa Uhuru.

Naamini huo ndio uhusiano uliopo kati ya Mwenge na Uhuru toka imeingia Awamu ya Tano sherehe za Uhuru zimekuwa zinahairishwa kwa madai ya kupeleka fedha zilizotengwa kwenye miradi ya maendeleo

Lakini katika hali ya kushangaza mbio za mwenge ambazo nao zina fedha zake zimekuwa zinafanyika.

Mimi ilitarajia kwa kuwa hivi vitu viwili Mwenge na Uhuru vina uhusiano mkubwa basi hata mbio za mwenge fedha zake zingeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo badala ya kuzitumia kukimbiza Mwenge
 
Wanahisi huwenda mwenda zake kaenda zake kwa kukiuka hili la kukimbiza mwenge kwa hiyo hamna namna
 
Mpaka sasahivi sijaelewa hili suala!
Tunarudi kwenye kuabudu mamizimu hata tena,mambo gani hata jamani?
 
Mwaka jana Mwenge wa Uhuru ulikimbizwa?
Ndio, ulikimbizwa kila wilaya na kwa masharti yaleyale ya kuukumbatia na kuufunika usizimike baada ya kuwashwa.

Na katika mkesha wa mbio za mwenge kunafanyika maovu sana.
 
Back
Top Bottom