TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Mkuu bado mwaga madini mkuuSiku ya inauguration yake mtoto ataye fungua kwa kuimba sijui naye atalimwa shaba baada ya sherehe hizo
Kama yule wakati wa Obama nadhani alikuwa anaishi Chicago
Kagugoo!!Mkuu bado mwaga madini mkuu
US wako nyuma kwa Tanzania for 9hours,sasa kama Tanzania saa hizi ndo kwanza tarehe 20 inaanza,hiyo ya marekeni imefika saa ngapi? Aibu yakoLeo 29/01 ? [emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Masaa 7 brother. Ikiwa huku ni saa 1 usiku wao saa sita mchanaUS wako nyuma kwa Tanzania for 9hours,sasa kama Tanzania saa hizi ndo kwanza tarehe 20 inaanza,hiyo ya marekeni imefika saa ngapi? Aibu yako
Kisheria, rais anafaa kuapishwa kabla ya saa sita mchana saa za Amerika Mashariki ambazo Afrika Mashariki ni saa mbili usiku.US wako nyuma kwa Tanzania for 9hours,sasa kama Tanzania saa hizi ndo kwanza tarehe 20 inaanza,hiyo ya marekeni imefika saa ngapi? Aibu yako
http://www.bbc.com/swahili/habari-38679550?ocid=socialflow_facebook