Sherehe yetu

Hao jamaa nahisi kuna aliyetapika coz umetoka kula pipi kifua mara unaletewa sambusa

Kuna mchanganyiko wa vyakula vinaweza kukufanya tahira coz si lishe kamili
 
Ahahaha Daah inabid white house pafunguliwe hotel wakiitwa huko wajinunulie kuliko wengine unawaona kabisa hawahitaji kula ila kwa sababu bakuli kashika mkulu lazma upeleke mkono..
 
Sikuhiz ukiitwa ikulu hakikisha unatoka kwako umeshiba..kha
kwerii kabisa hi nhi ilifika mahali pabaya sana..watu masufuria ya nyumbani yalikua hayatumiki yalijaa kwenye Makabati kakini saizi fulu moto kila nyumba msosi unanukia.
 
Nani kakwambia state ni pa kula kula kama nguruwe!!!!

Ukitaka supu andika jina, lije kwangu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…