Umewasilisha nini UTUMBO?
ur idiot mkuu,wewe huna mchango ktk maendeleo ya taifa hata wa mawazo kupitia humu..realy a hate u guy..back 2 the motion..NI KWAMBA zitto wa kushukuriwa na Chadema yake ila genge la pili na la mwisho la watafuna nchi linaingia so dawa ni kuwatosa 2015,ila nimeeleza mara nyingi kuwa chadema imepata singo tamu coz whatever wavunje baraza ama wasivunje mambo ishaoza.
wewe pimbi tunajadili mambo ya Tanganyika siyo ya Zanzibar kwenda kajiunge na harakati za kutafuta uhuru wa zanzibar....Umewasilisha nini UTUMBO?
Ni kimbunga, kitapita tu by jinga kuu la CCM.ZITO na chama chake cha Magwanda ni sawa na ng'ombe asiye na bei sokoni, eti ndo unaleta hoja kwa ajili ya kufurahia ukilaza wa zito, shame be upon you.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
ZITO na chama chake cha Magwanda ni sawa na ng'ombe asiye na bei sokoni, eti ndo unaleta hoja kwa ajili ya kufurahia ukilaza wa zito, shame be upon you.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Baada ya ZITO KABWE kusimamia kwa nguvu hoja mbalimabli zilizoletwa na kamati za bunge na michango ya wabunge ambayo ilikua ikisikitika sana juu ya ufujaji wa fedha za uma kutokana na riport ya CAG ambayo imeonyesha maovu mengi tu katika matumiz ya pesa hizo za umma, ZITO KABWE (MB), Aliinuka na kuanza kuwasainisha wabunge wote kuaproove kutokuwa na imani na waziri mkubwa kitu ambacho kimetia kimbunga cha hofu mpaka ikulu na mkuu wa magamba kuamua kuiomba cc ione km kuna haja ya haraka ya kupangua baraza lake kwa sababu matokeo ya ZITO yangekua diverstative and destructive to the government rather than shame kwa jakaya na baraza lake, so kwa kimbunga hiki kilichoamshwa na ZITO (CDM), ni vizuri huyu jamaa akafanyiwa celemony kubwa tuu ya kumpongeza kwa mchango wake wa kuinusuru nchi hii from the burrial na mgeni rasmi awe CAG ndugu LUDOVICK LUTO kwa kazi yake isiyomuogopa mtu na cheo chake. nawasilisha:israel::israel::director::israel::bange::bange::violin::violin:
Umewasilisha nini UTUMBO?
CAG ndugu LUDOVICK LUTO

Sidhani kama kazi imemalizika, grand finale ni 2015