Habari ya Jioni Ndugu Watanzania,
Nichukue fursa hii dhahabu kuwakaribisha katika
Sherehe ya Kujipongeza kwa wanabukoba kwa
ushindi wa kishindo (67%) wa uchaguzi Serikali za
mitaa kupitia CHADEMA.
sherehe itafanyikia katika Kisiwa cha NYABESIGA
(Pemba Ndogo) tarehe 3 Januari 2015(saa 3:30
asubuhi/9:30am) mpaka tarehe 4 Januari 2015
Asubuhi.
sherehe hii inawakaribisha watanzania wote na
hasa wa Kanda ya Ziwa wanaochochea gurudumu
la maendeleo.
usafiri utakuwepo (bila gharama kwenda na
kurudi) ikiwa Wavuvi wamejitolea boati zao
kutumika.
Pia,Viongozi mbalimbali wa CHADEMA Taifa
watakuwepo bila kukosa; Wilfred
Lwakatare 'Engaju ya Bukoba'.
KARIBUNI SANA TULISUKUME GURUDUMU LA
MABADILIKO BUKOBA KUPITIA CHADEMA.
Peopleeeeeeeees!