Sherehe ya kumpongeza Meya jijini Mwanza

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,549
Reaction score
8,309
Katika holel yaMalaika jijini Mwanza hivi sasa inaendelea sherehe ya kumpongeza meya wa jiji la Mwanza bwana Stanslaus Mabula baada ya kufunga ndoa leo mchana.

Naona mbwembwe kibao hapa, ni sherehe ya kijivuni! Namuona Salim Kikeke hapa na watu wengineo maarufu, tishaaa!!
 
Safi ngoja wale chenchi zao, mbunye tu ndio sherehe yote hio???
 
Safi ngoja wale chenchi zao, mbunye tu ndio sherehe yote hio???

Ndoa imefungwa hotelini, ryan's bay holel, saloon zilihamia pale!
 
So what's so special? Ndoa ni Ndoa tu haijalishi imehitimishwaje cha msingi ni utakaso tu. Zingine mbwembwe..........!
 

Hongera zake ila sherehe za mbwembwe hazidumu
Wewe ungerusha picha tungeamini upo malaika, au ulikutana na convoyi iloganzalla??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…