sherehe ya birthday

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,976
Reaction score
13,435
Habari zenu waungwana.
Ni hivi baada ya operesheni kimbunga kumrudisha kwao my wife wangu basi nikaamua kujipekecha sehemu nyengine ambayo nimemkuta mtoto WA kambo ambaye mwezi ujao anafanya birthday yake na anataka nimtoe out,je ni vitu gani muhimu vya kumfanyia siku hiyo? PIA itanibidi nimnunulie keki ama la?
Binafsi sijawahi kusherehekea wala kuhudhuria birthday sasa sitaki wao walijue hilo.
Nalog off
 
Ni wa kike au kiume
je ana kaumri gani kwani;

Hizi hapa je?
 
Unaweza kuimba ule wimbo wa birthday?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…