Sheng

Kinde - 10 Kshs.

ngata - kabali

buda - kama vile mzeiya/mshua/pal/msela (used mostly by guys kwa wenzie)

njiwa angalia maana ya buda.

Neiwa ngata si kabal, ni petroli. Ngeta ndio kabali, lakini naona uko radar na sisi mbaaaya.. baaden msupa
 
Siku za mwanzo ukiwa Ke/ Nai ukawasikiza madogo haki ya nani utaishia kucheka tu bila kuambulia chochote!!!!
 
Hahaaaaa! tell them meeen! by the way is not about all guys, just some few of them!

I think internet is hard for these Tz guys to come to terms with otherwise how do you explain the prevalence of this notion that kenyans should go to their forums IN almost every thread hapa JF?
 
SMATTA MTU NGUYA!!!!!! kulost nayo?!!! tokezeanga matime ugoteange wadhii.

nways, back to it. this is sheng ya eastlands. kama wewe si msee wa jogoo rodi you prolly never heard of this

mtasis - dada

njuleshon(watu maringo jeri na salem use that word)/ndula - kiatu

hakuna mbrrrcha - hamna noma

sare - free but it can also mean leave it alone/let it be

nikundias/nikundilala - its dangerous

mambo fyam - mambo kali

rwada - piga/ kurwadwa - kuchapwa

nare - kiberiti or kali

janta - job

ngataa(notice the double"a") - petro/fuel

maaaaann i can go on all day.
 
Niaje kibronje, ma area siku hizi ulichorea nini? sikucheki hii site siku hizi. Napandisia hizi ma mwere pahaz. baaden bro
 
Niaje kibronje, ma area siku hizi ulichorea nini? sikucheki hii site siku hizi. Napandisia hizi ma mwere pahaz. baaden bro

buda.....i think i outgrew the site....i still pass through time to time post a thing or two but i got no energy for the back and forth.

plus koborer and koba(vijana mambo mbaya) took over from us and are holding down the fort just fine.....me and you graduated from the trenches to grandfather status.
 
word. Been an active member for a minute now (5 years in) and its about time we hang our gloves and let the youngins take over from where we left, I always lurk around and post where necessary though. Hope you been good
 
Mabudaa

mkoaje? nimemiss hizo toungue za naii.....machalii na mamanzi hebu mchoree hizo word mob za street! Me hupenda vile maderee wa matt na machali wa street hubonga!

tao = city center
makaraa= polisi
trao = trouser
jineri = jeans
msupuu= mzuri/beautiful
veve = miraa
mtoi = kid
soo = 100 kshs
kukatia = kutongoza
sasa = hi/hello

Endelezeni....
vajoo= bikira
 
neno buda lina maana kadhaa, ni rafiki, ni baba yako, ni mtu yeyote mwanamme usiye mjua, wa-tz wanavyosema mkuu, sheng' wanabadili na buda/msee/mtu-nguyaz/mdhii/n.k

ngware - mapema
nguna/manzi/mresh/dem/dendai - mrembo
clande/chips funga/chipo/side dish/n.k - mpango wa kando
kutoka rodhi/kutoka teke- kukimbia mbio
kubleki/kublaze- kulewa chakari boza/ndom/gode- bhangi
fegi- sigara
vako - mzaha
ilikuwa giza - malengo hayakutimiza
uradi/mishoni - lengo
mode - mwalimu
kuuma vako/lenga stori - kupuuza, yaani kuignore
gage(ama gej)/mzinga/tei - pombe
tenga/thao/ngiri (pia kikuyu)/K - elfu
mita - milioni
rwabe- mia mbili
punch - mia tano
chwani/finje - hamsini
salasa - thelathini
kanju (pia kikuyu) - councillor
moshene (pia kikuyu) - udaku
mzunye - mzungu
ndai/dinga - gari
dingo/gondi - mwizi
nyong'inyo- soksi
jinika - jeans
iz vipi/iz howz? - salamu
ndithi (ndethe) (pia kikuyu) - uchi
ngwati - ngono
kukuta vitu/kurarua vitu/kuchapa ilale/n.k - kujamiana
rasa/haga/mawetete/sitting allowance/n.k - makalio
jegi/tuzo/kicc/milk factory/kifua/n.k - matiti
kondule- kondomu

ai hadi nikasahau ni majina mengi mno, na utanotice maneno yanayohusiana na wanawake na mahusiano nao ni mengi sana.
 
Mathree/mats/nganya-daladala
-sota-kukosa pesa
-doggy-mbwa
-shaggz-mashambani
-tenje-music player
-samoo-kitu (something)
-mbao-sh20
-ngiri-sh1000
-punch-sh500
-mahanjamz-6exual desirez
-kobole-sh5
-ashu-sh10
-mseiya/msee/mdhi-mtu
 
Nyong'inyo-soksi
njuti/njum-viatu
ngotha-underwear
naree-moto
traoo-trousers
orezoo-president
nangoz-phone
baro- barabara
esto- estate/planned residential area.
Keja-nyumba
ubao-njaa
jwalaa-polythene paper
ndai- gari
karau- police
sakanya-kutafuta
kumtoa (mtu) rangi/kumchoea msee picha-kumhaibisha/dhalilisha mtu
ndomm- bangi
kumanga-eat/have 6ex
mada-finish (a task) ie nimemada homework, naenda kudoro!
Kudoro-kulala
 
nyege/mahanjamz - hamu ya se&&
hanye - hangover
hepi - raha
du/zii - la/hapana
iza/zae - pole
sir godi - mungu
JC -yesu
walalo - muislamu
warya - msomali
msapere - mkikuyu
mlunje - mluhya
mjaka - mjaluo
wochi/soja - mlinda lango
sunda - seti
dunga/cladi - vaa
masa - mama
kuzo - binamu
sis - dada
bro - kaka
cucu (linatamkwa shosho) (kikuyu) - nyanya/bibi
guka (kikuyu) - babu
ngovo/kobole - shilingi tano
mbao - shilingi ishirini
sembe/uganga - ugali
ku-nice - kufurahisha
mkwanja/doh/ganji/mulla/chedda/n.k - pesa
veve/ muguka (kikuyu/kimeru/kiembu) - miraa
kamuti (kamotee) (kikamba) - dhana ya uchawi
nisave/niokolee - nisaidie
guton - jiwe
poko - kahaba
babi - anayefuata mitindo na mavazi ya ki-hiphop (mara nyingi pia huwa tajiri)
ras/mnati - anayefuata mitindo na mavazi ya ki-reggae (mara nyingi huwa hustler)
mapoko wa k-street - kahaba wa koinange street (kahaba wengi nairobi huwa hapo)
janta/joboz/works - kazi
maisha london - maisha ya kifahari
ngori - noma
waba/wode - maji
jua -juice
sode - soda
shagzmondo/ushago/shagz - mashinani
kudishi/kudema - kula
dem ameiva - mwanamke mrembo
sanya - iba
 
Manze, juzi nilitoka tao na dem wangu kwa ndai yangu. Sa baadaye kujaribu kufinya clutch hivi nikacheki hii njum chini ya kiti yangu. Nikapima saa zile dem hanicheki, nikaidaka hiyo njum na kuitupa nje ya window ya ndai.

Sa kufika home nikamcheki manzi anasakanya kitu vinoma kwa floor ya ndai, nikamuask, 'kwani what's up darl?' Akaniangalia ni kama kuna noma flani. 'Babe', akanishow 'njum yangu ya mine moja iko wapi?'

Damn! Nilikuwa nafkiri hiyo njuti ilikuwa ya chips funga tulipatana nayeye hiyo jana huko Simmers club!
 
Hii storo si vako mazee, jana tulimkuta huyu kibuda amelala nje ya place ninaduyia works. Ni ka alikuwa amelala hapo for long tangu ngware, manze na hiyo njeve yote!

Sa tukamuamsha na kumuask kama ako msick. Kitu ya kwanza yeye ali-do, alianza kushikashika mifuko za trao na koti zote, akatuuliza,'yule dem nilikuwa nayeye mumecheki place ame-go? Tukamshow sisi hatukumcheki na msee yeyote.

Huyo buda, anakaa 55 hivi akaanza kulia mazee! "Nangos yangu ya thao kumi, dough zangu thao fifty, wallet yangu, kila kitu, mazee nimeporwa, mnihelp tu waseiya!"
Tukashindwa, sasa tu-do what?

Kuuliza uliza ndo tukajua kumbe huyu mdhii alikuwa anatoka huko Muranga, alikam Nai kuchukua bonus yake ya chai.
Sa alipatana na apoko flani K-street, vile alikuwa na mahanjamz.
Inakaa alimdrug vile alijua ana dough mobb na kumsanyia kila kitu. Sasa atambiaje wifey?

Manze, unafaa kuwa rada ka uko hapa mtaani. Hao mamresh wa Nai, sana sana hao wa Koinange wanaeza kumess vinoma. Sana sana wakikucheki unakaa mshadhe ivi ivi!
 
Haha ukaitupa, si ungeisunda huko baze, tena akiipata umshow ni ya sis yako, hata leo bado hajui.
 
Hawa wasee wa bonus huwaga hivo, na kwani hawajawahi kam nai tena, lakini msee hupata experience na mapoko, especially kama ulichopia UoN, kawaida iliwaga pale Sabina joy, eish hawo mapoko ni stori ingine, kama ni kuhustle mi nawavulia ngepa. hata wamenishinda na mbali.
 
Back
Top Bottom