Shemeji

Duuuh kweli watu duuu hahahahaha haya nadadavua hivi.....mkeo anamchepuko unaitwa Juma....na umejua japo hauna vidhibiti vyote umejua kwabkuona mawasiliano yao...kumbe na dada yake anamjua Juma...

Siku mmetoka out na dada wa mkeo pamoja na mkeo sasa dada wa mkeo akawa anasimulia kuhusu Juma anamsimulia mkeo na anamuuliza watamsaidiaje???sasa ungekua wewe ndo mwenye mke ungechukua maamuzi gani.....kama hamjaelewa hapo duuh basi tena
 

Umeeleweka. Ushauri ni piga chini huyo mkeo kwa kosa la kuendekeza michepuko!
 
Hapo patakuwa na tatizo zaidi ya linaloonekana.
Kwani shemejio hakufaham wewe kama ni mume wa bibie?
Ina maana huo mchepuko ndo unashika hatama kiasi cha shemejio kutoheshim hata uwepo wako mahala pale looohh!
Huyo ni mkeo ama ni mpenzi/rafiki tuu?
 
Ongea kilichokusibu direct! Unaandika kama mzee! Hushangai kila mtu hakuelewi? Tulia kwanza pombe zikuishe kichwani uje kwa upya!
 
ASSUME mimi ni EVA nina mume wangu JOHN ,mume wangu ana kaka yake aitwaye EDGAR. EDGAR ana tabia ya kutunziana siri na mdogo wake (JOHN) kiasi kwamba anamjua mwanamke(tumuite JOYCE) anayetembea na Mume wangu JOHN. JOHN hukataa kuwa ana mahusiano na JOYCE japo nilishawahi kuhisi uhusiano wa JOYCE na Mume wangu JOHN ,ila mume wangu hubisha na mimi uhakika sina . Siku moja tukiwa pamoja watatu , EDGAR akawa anamuhadithia mume wangu JOHN kuwa JOYCE amepata matatizo ya milioni tatu hivyo kama vipi JOHN amsaidie JOYCE. ndipo JOHN akaanza kumkanyaga EDGAR ili aache hiyo stori ila ushtuaji huo nikaushuhudia na EDGAR akahama mada ghafla kwa kusema kuwa '' aah unajua JOYCE ni rafiki yangu mimi(EDGAR)''
Nahisi ndicho anachomaanisha Mtoto Mpole. Mimi ni mwanaume ,nimeassume ni mwanamke ili ieleweke kwa urahisi ,ukitaka version ya mimi kuwa ke pia ipo
 

Sasa mzingo kwa nini imejiwakilisha kama mwanamke wakati wewe ni mwanaume? Hivi kwa nini mnaona raha kuchanganya wenzenu?
 
Mume wangu mimi???
Lazima watakua wamepanga makusudi kulisema kwangu.
 
Hahahaha haya wadau...basi sawaaa nimeshindwa kuelezea...
 
Mbona unazunguka? Achana na mifano eleza shida yako watu wakusaidie
 
Sidhan kama atakuwepo huyo shemeji wa kutoheshimu ndoa ya nduguyake, labda kama wanashea na nduguye na keshanogewa na anatamani sasa ampore kabisa nduguye! Kiuhalisia haipo hiyo! Never!
 

Ningetoa talaka.
Wewe ulifanyaje mtoto mpole.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…