richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,454
- 3,469
Wahenga walituasa kuyalinda na kuyaheshimu Mahusiano kwa hali yoyote ile itakayotokea.
Lakini tokea mpenzi wangu aanze kusumbuliwa na kisukari
Amekuwa haniridhishi kitandani kwa muda mrefu
Imefikia hatua hadi mdogo wake wa kiume (shemeji yangu)
Anamsaidia kuniridhisha kimya kimya
Shemeji yangu anajua "kunikaza" kweli kweli
Sijapenda kumsaliti mpenzi wangu,,kwani ham ya tendo haina bingwa.
Nahitaji ushauri na sio lawama kwani hata wewe humjui anayekumegea wa kwako.