Shemeji Wa ajabu

unajua nin? dadaako nashemej waajabu wamepanga kukutoa kafala. so take care
 
Muda wote huo wewe unaishi kwa shemeji yako au!??
 

Wote (mume wa mtu aliyerubuni, mke wa mtu aliyekubali kurubuniwa) ni washenzi.
 
Mwanaume ni kifua Mkuu. Sifa ya pili inayoendana na hio.. lazima upime maneno unayoyaruhusu kukutoka. Vinginevyo unakua umepungukia na kitu muhimu sana.

Kama hizo picha ni za kweli na haya usemayo ni kweli, basi kuna shida unaitengeneza na itakulika muda si mrefu

Lakini na wewe unakubali kukaa na kusikiliza stori hizi kweli tena kwa dadaako? Dunia ina mengi.

 
Labda anaogopa kupigwa na vitu vyenye ncha kali?
 
Inawezekana huyo shemeji yako wa ajabu si ajabu kakutifua hata wewe pia! maana ulivyorembua mimacho wakati unaandika hako ka riwaya kako!!! Domo kama samaki!!!
 

Huyo mwenye mke aliporudi toka nje na kukuta mkewe ndani ya bonge la jumba jipya na makorokoro mapya kibao hakustuka?? Mke alikuwa anaishi kwenye vyumba 2 au 3 akahamishiwa upande mzima, baadae jumba la uhakika ndani ya kipindi kifupi jamaa hakustuka kweli??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…