JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
Ammani iwe kwenu wana bodi!
Kwenye sherehe za may mosi, 2015 moja ya mabango waliobeba walimu lilisomeka "shemeji unatuachaje? ".ule ujumbe bila shaka ulikuwa una maanisha kwamba Rais awaongezee masheji zake yaani walimu mishahara.Ujumbe ule ulimchanganya kidogo mheshimiwa Rais.
Unajua ni kwanini? Wakati anaingia madarakani alikuta walimu wengi wanalipwa kati ya shs 65000 na 450000.Akaamua kuwaoneza mishahara na mpaka anakaribia kuondoka madarakani walimu walio wengi wakawa wanapata kati ya shs 700,000 na 1,500,000.
Ongezeko kubwa bila shaka lakini mshahara bado hautoshi!! Hapa ndio unajua kwanini wahenga walisema usimpe mtu samaki mfundishe kuvua samaki! Nini kifanyike?
Walimu ni kundi kubwa la wafanyakazi wanao kopesheka na Bnk mbalimbali Nchini, kinachotakiwa ni kuwawezesha namna ya kubuni miradi inayo zalisha na isiyo hitaji usimamizi wa kila siku.
Miradi hiyo siyo tu itawaongezea wao kipato lakini pia itatoa ajira kwa vijana wengi wasio na kazi.mshara pekee hautoshi hata ukilipwa 2,000,000 au zaidi.