Shemeji uko vizuri

wanaume bwanaa yaani kitu kidogo mnatetereka/mnaporomoka kutoka kileleni hadi bondeni..hamridhiki na uzuri wa wenza wenu.
 
haujakaa kimazoezi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...kiepe tupu hapo...
 
Honey Faith nini maana ya vikuku miguu yote miwili?
 
Last edited by a moderator:
anakulazimisha umsifie kama yeye..

Hahahaha kuna watu humu wa ajabu sana mie kusema nililoona naonekana nina wivu ila yeye kakubali kaona nilichoona ila anasifia ili asionekane tofauti......
 
hii made in Kaskazini mashariki kilimanjaro, Arusha au Manyara. Ni wakawaida sana ila umerembwa ukarembeka. balaa zipo kanda ya ziwa huko
 

Attachments

  • 1418298740577.jpg
    42.1 KB · Views: 402
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…