shemeji simuelewi

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,222
shemeji analalamika simpigii simu na anataka kuniona me nipo busy na ishu zangu kwani lazima nifanye anavyotaka yeye si mpaka niamue mwishowe uvumilivu utanishinda!
 
unaufahamu ule mwimbo wa shemeji shemej mbona wazima taa?
 
Mwambie muonane hakika atafurahi sana.
 
shemeji analalamika simpigii simu na anataka kuniona me nipo busy na ishu zangu kwani lazima nifanye anavyotaka yeye si mpaka niamue mwishowe uvumilivu utanishinda!

Hutaki kula sahani moja na sista?
 
Huenda anakutafuta akuahitakie anavyofanyiwa na rafiki yako, wala si vinginevyo
 
Hahaha chezea dhemu kula kuku mpaka
Vifaranga :screwy:😱:thumbdown:
 
ChaUkawa, unatutatiza kidogo hebu tuambie, wewe ni mwanaume au mwanamke?Maelezo yako hayajitoshelezi. Ila kimsingi ni dhambi unapaswa kumpinga shetani kwa nguvu zako na akili zako zote!
 
Kamsaidie rafikiyo shemeji haridhishwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…