Huyu hakuoni kama shemeji anayo yake mengine kama wewe huna basi kaa nae mbali, ndugu yako kaachane nae hata wewe pia huhitaji kuwa karibu nae sio kama adui but kama ex-shemeji, maana mwishoni itakuwa shemeji shemeji huku mwazima taaa
Usituzuge, we omba ushauri kuhusu hivyo visa vya bwana wako na si shemeji yako. Atakukaripia kwa mpango upi kama si mumeo? Kwa nini akupigie simu wakati si shemeji tena?