'Shemeji kaniuzia kesi'

Snow,kilichopo nyuma ya pazia ni kuwa huenda amekatazwa kwenda pande hizo alone.Lakini kumbuka tunaasume tu!!
 
chukulia kama hujamwona,kwani endapo utamwambia huyo bro,tayari utakuwa umeshaivuruga ndoa ya watu,huwezi jua wamewekeana masharti gani ndani ya nyumba,epuka kuwa mmojawapo au kuwa wa kwanza kuivuruga hii ndoa.kuna mambo mengi tunayaona lakini ukikaa ukachunguza utakuwa uanapata shida sana,labda huyo jamaa ni wa shoga yake au inawezekana ni wa kwake,na kama ni wa kwake basi kuna kitu anakikosa ndani ya nyumba akaamua kufanya vile na pia hakutegemea kama wewe utafika maeneo yale.tambua za mwizi ni arobaini na iko siku wewe mwenyewe utamshuhudia kwa macho yako na ndipo utakapo mwambia na hapa vipi nisimwabie kaka?kwanza hiyo sms ilivyo kaa imekaa kimtego sana best kuw makini
 
chukulia kama hujamwona,kwani endapo utamwambia huyo bro,tayari utakuwa umeshaivuruga ndoa ya watu,huwezi jua wamewekeana masharti gani ndani ya nyumba,epuka kuwa mmojawapo au kuwa wa kwanza kuivuruga hii ndoa.kuna mambo mengi tunayaona lakini ukikaa ukachunguza utakuwa uanapata shida sana,labda huyo jamaa ni wa shoga yake au inawezekana ni wa kwake,na kama ni wa kwake basi kuna kitu anakikosa ndani ya nyumba akaamua kufanya vile na pia hakutegemea kama wewe utafika maeneo yale.tambua za mwizi ni arobaini na iko siku wewe mwenyewe utamshuhudia kwa macho yako na ndipo utakapo mwambia na hapa vipi nisimwabie kaka?kwanza hiyo sms ilivyo kaa imekaa kimtego sana best kuwa makini
 
Snow,kilichopo nyuma ya pazia ni kuwa huenda amekatazwa kwenda pande hizo alone.Lakini kumbuka tunaasume tu!!

Ni kweli Eiyer we are working here with assumptions..
Na ninachojaribu kufanya ni kunarrow down all assumptions ili nibakie na ile ambayo nitasimama nayo pale kibao kitakapogeuka!!
 
Last edited by a moderator:
Siku zote usikurupuke kusema kaa kimya utakuja umbuka kuwa wewe unawachonganisha
utalishwa sumu. Be careful kuhusu wapendanao utageuka kuwa adui yao mkubwa.
 
Kwa mtazamo wangu ni kuwa hata bila ya huyu shemeji kukusihi; sidhani kama ni busara kumsemea; na najua wewe unalijua hilo.

Ila tukirudi kwenye substance huyo mke wa rafiki yako kuna uwezekano mkubwa ni kicheche. Ogopa sana watu wanaofanya mambo kwa kujificha...kama alikuwa anaamini anafanya vibaya kwa nini aende bar na rafiki yake akiwa kwenye company ya mwanaume ambaye nadhani mumewe hamjuhi...hapo utakuta ni jamaa lake...anamtumia mwenzie kama ngao.

Kuna rafiki wa mume wangu alikuwa na hiyo tabia...utaona anampigia mume wangu simu wakutane sehemu kumbe yuko na demu na yeye ni mume wa mtu..anamtumia mume wangu kama ngao kwa kuwa mimi naijua hiyo nyumba ndogo ya huyo jamaa...mkewe haifahamu ingawa dada ameanza kuchukuliwa tangu mi sijaolewa...yani more than 8 years back....Nilishamwambia hubby sitaki kabisa aendelee kutumiwa kama ngao; akimpigia simu ampotezee; kwanza jamaa ni mkubwa kwa hubby though hajiheshimu.

Mke wa shemeji yangu huyu ndo nawahita wake m.a.b.w.e.g.e; yani jamaa ana nyumba ndogo mwaka wa kumi karibia mkewe hana hata clue. Na mimi najua na keep quite kwani si mlinzi wa ndoa za watu miye.
 
Kwa mtazamo wangu ni kuwa hata bila ya huyu shemeji kukusihi; sidhani kama ni busara kumsemea; na najua wewe unalijua hilo.

nyumba kubwa nimekusoma..
Kupitia comments zenu naanza kuona hatua za kuchukua..japo pia nimejifunza kitu kwa sie tuliooa...
 
Last edited by a moderator:
silent is the answer.
in case wakalipuana huko shauri zao
hiyo msg usiifute unaweza geuziwa kibao wewe ndio ulikuwa nae itakusaidia kama evidence

Sasa wakilipuana akaionyesha hio msg kama ushahidi huoni kuwa rafiki yake hatamwelewa?? kama kweli ni rafiki wa kweli na hakuhusika katka hilo si ataulizwa kuwa "mbona hukuniambia??" je atajibu nini???
Kwangu mimi hakuna kigugumizi,eleza kila ulichokiona hadi ujumbe ulotumiwa!!! "Ukweli utakuweka huru daima"
 
Lokissa well said man
You mean i should keep silent?
Message sijaifuta kwa kweli!

Usijidanganye ndugu yangu,ukweli utakuweka huru siku zote,sema kila ulichokiona usiongeze wala kupunguza maneno.
Waweza singiziwa kuwa ww ndo ulikuwa nae! Kama usemavyo bar kuna watu wengi,yawezakuwa kuna mtu kakuona na kamwona na huyo shemeji yako! na akamwambia rafiki yako,je hapo utajinasua vp kama awali hukueleza kwa rafiki yako???
 
mko serious ama?
are you guys married?
yaani from no where hujaulizwa ukurupuke kumsemea mke warafikio kwa mume wake ili uwe huru.
afu utafaidika nini wakiamua kutengana?
kama hakuna uliloulizwa ni heri kukaa kimya kulinda ndoa na sio kusema ili uwe huru.
kwa mtu mwenye busara ataelewa kwanini umekaa kimya na hatakulaumu atajua lengo lako ni kutokuwaharibia ndoa yao
nadhani nyie bado hamjaoa ndio maana mnadhani bora kuwasemea

Sasa wakilipuana akaionyesha hio msg kama ushahidi huoni kuwa rafiki yake hatamwelewa?? kama kweli ni rafiki wa kweli na hakuhusika katka hilo si ataulizwa kuwa "mbona hukuniambia??" je atajibu nini???
Kwangu mimi hakuna kigugumizi,eleza kila ulichokiona hadi ujumbe ulotumiwa!!! "Ukweli utakuweka huru daima"
 
mko serious ama?
are you guys married?
yaani from no where hujaulizwa ukurupuke kumsemea mke warafikio kwa mume wake ili uwe huru.
afu utafaidika nini wakiamua kutengana?
kama hakuna uliloulizwa ni heri kukaa kimya kulinda ndoa na sio kusema ili uwe huru.
kwa mtu mwenye busara ataelewa kwanini umekaa kimya na hatakulaumu atajua lengo lako ni kutokuwaharibia ndoa yao
nadhani nyie bado hamjaoa ndio maana mnadhani bora kuwasemea

Sioni haja ya kuumauma maneno.Ni bora kusema ukweli tu! Kama hakuwa na nia mbaya kwa nini amnyamazishe shemej yake? No way,sema ukweli full stop!
 
yeah, kuna wanaume wana wivu mno na wapenz wao so unakuta hata anamnyima kwenda popote bila ruhusa yake, kwa mfano mie nna friend wangu ambae mpenz wake ana wivu kiasi kwamba anamfanya huyo friend wangu kama mwane, anataka aambiwe kila anapotaka kwenda au anachotaka kufanya, na wakat mwengine anaweza akatoa taarifa na njemba ikaona kuwa haina maana so my friend ananyimwa ruhusa ya kutoka, hali hyo imeanza kumletea matatzo na baadh ya marafiki kwani wakat mwingine anayimwa hata kwenda kwenye social events za kawaida sana na marafiki zake, kwa sabab hyo amekuwa akimdanganya mpenz wake mara moja moja na kutoka au kutembelea au hata kuhudhuria vitu kama harus na rafiki zake...

hvyo kama ulivyosema hukuona mwenendo mbaya wowote kwa shemejiyo, inawezekana kabisa friend wako ni type ya huyo jamaa wa rafiki yangu, so mie nakushaur upotezee.............
labda alishakatazwa kwenda mahala kama hapo akiwa pekee au pamoja na marafiki so anaogopa mwenzie kujua hilo piga kimya kama kuna lolote litatokea hapo baadae utajua nini cha kufanya
 
Mdogo wangu SnowBall,

Hebu kuwa mtu mzima ...sitaki kuongea zaidi.

Kwani asingekutumia sms ungemweleza mume wake??

Kama hukuwa na mpango huo basi kaa kimya ila kama ulikuwa nao basi endelea na mpango wako....!!

Kwani mambo ya ndoa yao yanakuhusu nini??

Niliwahi kusema huko nyuma kuwa, mtu atakayekuja kunieleza habari za wife anavunja amri yoyote iwe ile ya 6 ndiye nitakayeanza naye.....Mwache rafiki yako atajua mwenyewe....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sioni haja ya kuumauma maneno.Ni bora kusema ukweli tu! Kama hakuwa na nia mbaya kwa nini amnyamazishe shemej yake? No way,sema ukweli full stop!


Halafu baada ya kusema atafaidika nini??

Ana hakika jamaa (huyo rafiki yake) atamuamini kwa kila atakachokisema??

Nadhani wengine mnacheza na ndoa na especially uwezo wa wanawake kugeuza story na kukufanya utoke upade wa shahidi kwenda ule wa mtuhumiwa!!....Anyway...mnaweza kujaribu!!

Babu DC!!
 
Nilishawahi kuwa na mwanaume ambaye hakiniruhusu kwenda bar bila kuwa naye. What if hubby wake ni the same kind of guy?
 
Kama unataka jamaa ako afe kwa ukimwi we kalia taarifa hizo shemeji yako analiwa huyo
 
Asikushughulishe,fanya kama vile umekutana na konda wa dala dala ambae hakuzidishi wala hakupunguzi.
 
Mdogo wangu SnowBall,

Hebu kuwa mtu mzima ...sitaki kuongea zaidi.

Kwani asingekutumia sms ungemweleza mume wake??

Kama hukuwa na mpango huo basi kaa kimya ila kama ulikuwa nao basi endelea na mpango wako....!!

Dark City nakuelewa mzazi..
Nimefikiria njia zote ulizoziwaza na kama utafuatilia the main post utaona kwamba sijasema chochote mpaka sasa..
What i am trying to do is to figure out the reasons as to why my shemeji didn't want me to disclose her info to her husb...Thank God kuwa kupitia baadhi ya hoja hapa nimegundua the way forward...
 
Last edited by a moderator:
Dark City nakuelewa mzazi..Nimefikiria njia zote ulizoziwaza na kama utafuatilia the main post utaona kwamba sijasema chochote mpaka sasa..What i am trying to do is to figure out the reasons as to why my shemeji didn't want me to disclose her info to her husb...Thank God kuwa kupitia baadhi ya hoja hapa nimegundua the way forward...
Ni kweli kuna mashaka sana kuhusu hiyo caution ya shemeji yako ila hilo achana nalo kabisa unless unaelewa kila detail ya maisha yao ya ndani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom