SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

Mfundishe kiswahili kwanza.😆


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mpotezee
 
Trust me hy mwanamke kwa maandiko yake hata hata akili zake hivyo hivyo ukimtafuna tu lzm mbambwee na jamaa na alivyo unawez kuta kapenda hako kagari kako ndiio kanamchanganya[emoji23]

🤣🤣🤣 me namkimbia saivi ndugu yangu jamaa asije ona me namkosea heshima bure wanawake wapo wengi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…