Shemeji ananipa mitihani

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,362
Reaction score
3,846
Habari wana MMU, nina imani ni wazima wa afya.

Katika siku za karibuni nilihama mkoa fulani kikazi, kama ilivyo kawaida nilitafuta chumba nikapanga na kiustaarabu kuishi vizuri na majirani zangu.

Sasa kuna mpangaji mmoja yeye huwa anamnyanyasa sana mke wake kwa kumuumiza kimapenzi. Ana uwezo akawa na mke wake barabarani ila akamsubirisha njiani atongoze demu mwingine mbele yake.

Sasa hivi karibuni nimeanza kuona visa vya shemeji (mke wa huyo jamaa) anatuma sms ambazo zina walakini ndani yake kama kuuliza vp leo hujamwaga ulivyoamka au jana ulivyooga ulisugua gegedo vizuri na mengine mengi makubwa makubwa.

Mimi nimepata wazo la kuhama ila sina uhakika kama wazo langu lipo sahihi sana hebu nipeni mawazo ndugu zangu.

Kuna mengi nimeongea tu kwa ufupi nisiwachoshe..!
 
weeh ukipiga block ata izo huzipati kabisa,no messages no calls
au umwambie kua hupendi namna anavokutumia izo message
nimejaribu kumuambia hilo anajifanya kujirekebisha kwa kutuma za kawaida ila bado zinaelekea kule kule...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…