Shemeji ananichonganisha na mke wangu

Shemeji ananichonganisha na mke wangu

Kweli amwache anune tu, mke wa mtu anakuhusu nini kwa mfano?? Anaweza kumsaidia tu kupata kazi lakni sio lazima mpaka mtu anune
Hata hivyo mtu aliyekuwa hakujeshimu wakati unaishi na dada yake itakuwaje akuone we wa thamani kwa kuwa anashida ya kazi??

Achana nae wala huna haja ya kujisikia vibaya, tabia mbaya itamponza
 
We una bahati mbaya, mi nimeishi na dada mkubwa wa mke wangu kwa muda sasa. Kwa kweli anaheshima kuliko mdogo wake. Na anampenda mwanangu sana. Kwa ujumla sitaman aondoke kwangu coz mi natumia pombe mke wangu ana ulokole flan nikirud nimeshakunywa ni ngum hata kuniandalia chakula ila kwa shem anakuwa anajali sana. Ila kwa kuwa huyo shem wako kaolewa we achana naye hakuhusu kwa lolote huyo ni mke wa mtu.

Duc in Altum
"Sawa kabisa yule yuko kwenye Himaya ya mtu mwingine.. "
 
heheeeee leo ukirudi nyumbani mshikie mkeo chini mpe mamboo akianza makelele ya rahaa..
uingizie hiyo mada, muulize kwa nini anafuatilia sana maisha ya wanandoa wengine?
mwambie umemuoa na anahitaji kuangalia furaha ya nyumbani kwake,
then mpe cha haraka haraka kama dakika mbili na utulie ila usichomoe,
muulize kama kaelewa. halafu mwambie akinuna anawahi kuzeeka.
baada ya hapo mwambie ainuke mkaoge.
 
Inawezekana una changamoto kutoka kwa shemeji yako na mkeo ila kwa namna unavyosimulia haya mambo inashangaza.
Upangaji wako wa matukio nao ni mashaka matupu.
Kama bado una kumbukumbu ya mambo ya miaka ya nyuma basi hilo ni tatizo.
Jaribu kutatua tatizo moja moja.
Shida inaweza usiwe mkeo wala shemeji yako ila wewe mwenyewe.
 
We una bahati mbaya, mi nimeishi na dada mkubwa wa mke wangu kwa muda sasa. Kwa kweli anaheshima kuliko mdogo wake. Na anampenda mwanangu sana. Kwa ujumla sitaman aondoke kwangu coz mi natumia pombe mke wangu ana ulokole flan nikirud nimeshakunywa ni ngum hata kuniandalia chakula ila kwa shem anakuwa anajali sana. Ila kwa kuwa huyo shem wako kaolewa we achana naye hakuhusu kwa lolote huyo ni mke wa mtu.

Duc in Altum
Mmh!
 
Back
Top Bottom