Sheme on you people


Wtanzania tuache UPUMBAVU, sasa nini hiki cha kugombania? Yaani BBA ni kitu cha kukiweka akilini kama msingi wa maisha? Kwa nini tunaishi kwa illusions?

Sasa ulitaka upelekwe wewe na huu ujuha wako hata kiswahili hujui? Hebu angalia hizo bold na kiingereza chako cha sheme
 
Serikali ilishatoa tamko kuwa haijihusishi kwa namna yoyote na ushiriki wa BBA, sasa sijui kwa nini walalama kuwa inapaswa tujitangaze wakati BBA it's a personal accolade...

Kapuya akiwa waziri alishawhi kuhudhuria na kutoa hotuba wakati fulani akisema anawatakia kila la kheri kwakuwa lifika pale na gari la serikali nafikiri Serikali ilishiriki
 
Kapuya akiwa waziri alishawhi kuhudhuria na kutoa hotuba wakati fulani akisema anawatakia kila la kheri kwakuwa lifika pale na gari la serikali nafikiri Serikali ilishiriki
BBA ilianza lini na Kapuya mara ya mwisho kuwa Waziri ni lini?
 
Ulijitokeza ukanyimwa?
Ubaguzi tu, mmekalia hayo hayo
asi chagua nchi nyingine uisapoti
 
ni ndugu zenu mliozaliwa nao hao; baba na mama mmoja.
 

Mbona huwaoni watu wenye Nyuso za kina Wasira kuchaguliwa katika mambo kama hayo
 
Mhh huu sasa ubaguzi.kwahio mashombeshombe sio watanzania hata kama wamezaliwa hapo,wamekulia hapo,wazazi watanzania na taifa pekee wanalolijua ni tanzania.
Huu ubaguzi wa rangi:embarassed2:
 
Mbona huwaoni watu wenye Nyuso za kina Wasira kuchaguliwa katika mambo kama hayo

Wewe pigania maisha acha upumbavu. Haya mambo ya BBA ndio yanafanya mnafeli kidato cha 4, mnawaza ujinga badala ya kusoma
 
Mkuu @ life is Short nimekusoma vizuri tu. Mashindano ya kumpata mwakilishi wa nchi yako wazi sana, matatizo yetu ni ushiriki wa vijana wetu na uelewa wa lugha ya kiingereza inayotumika exclusively ndani ya jumba la Big Brother. Kwa wale ambao mnakumbuka yale mashindano ya Idol Watanzania tulikuwa chini sana kwa sababu ya kutokuwa na vijana walioweza kuimba nyimbo za kizungu. Wengine mtasema ni kasumba lakini hivyo ndivyo mambo yalivyo unapotaka kuingia kwenye jukwaa la kimataifa. Wale mnaoangalia formula 1 na Moto GP mtaona kuwa riders na madriver wanapaswa kuzungumza English!
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa....Unafikiri kuwa mweusi tii ndio kigezo pekee?
 
Kweli aisee...SHEME, kwa style hii ya SHEME Utalalama hadi uote pembe
 

Kwani Kanumba naye chotara?

Mkuu Safari_ni_Safari hapo kwenye blue ulimsoma vizuri?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…