Shemale?

Huyu jamaa nae sijui alikuwaje....?? Ila nimesoma sehemu maana jamaa amepigika mbaya...

Mhh hajapigika kihivyo kabanga.. Nime-google nimeona ana estimated net worth ya dola milioni moja za kimarekani.. Not much but vile vile not less.. So anaendeleza vimbwanga tu..
 
Last edited by a moderator:

Bongo ni bilionea huyo...!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mhh hajapigika kihivyo kabanga.. Nime-google nimeona ana estimated net worth ya dola milioni moja za kimarekani.. Not much but vile vile not less.. So anaendeleza vimbwanga tu..

yeah sio mbaya, kabisa maisha yanaendelea.....
 
huyu jamaa alikuwa mwehu kwelikweli.

"

Ha ha ha.. Madonna aliwahi kusema katika wanaume wote waliomtafuna Rodman alikuwa ni beast akiwa kwa bed.. Yaani anasema alikuwa anafikishwa kunako..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…