GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 20,062
Panda juu kwenye bandiko lako la kwanza nenda kaedit hiyo na uongeze habari ulizoongezaBei NI BIL. 4. NA SI BIL. 4.5 [emoji777]View attachment 1828424
Panda juu kwenye bandiko lako la kwanza nenda kaedit hiyo na uongeze habari ulizoongezaBei NI BIL. 4. NA SI BIL. 4.5 [emoji777]View attachment 1828424
Nashangaa.... Christian Ronaldo aliuza Mansion yake kwa kutangaza pia na picha za kutosha. Yeye ni nani huyo asiweke picha. Na hizi ni dalili za utapeli maana ikiwekwa picha mwenye kituo na ndugu na jamaa humu wataona na watapinga uzi huu.Hahahaaa watu wengi wanaonaga kuuza ni kama umefulia eti
Sijui hela zako mwenyewe kwanini zinakutesa
Ipo Dodoma, ilikapendezesha sana haka kamji ketu uchwara.Bahi ndio wapi kiongozi? DULAIKI COMPANY
Sema tu hainihusu, ningetoka nikapiga picha maana sheli yenyewe ya bahi iko hapa jirani na home.Blaza kwani kuuza kitu ni kujishusha hadhi? Basi vizuri hakuna neno, labda mie nina uchanga kwenye elimu ya real estate.
Hii comment yenyewe ni mojawapo ya maajabu ya duniaKwaiyoo mkuu nitoke U.S.A nijee unipeleke alafu nirudi bure kama ntakuwa sijarizika nazo??
Dunia haishi maajabu.
Mwambie kama yuko clean asiwe na wasi wasi sheli kupigwa picha.
Hata Mimi nimeshangaa wasalimie hapo Joo Baideniii.Kwaiyoo mkuu nitoke U.S.A nijee unipeleke alafu nirudi bure kama ntakuwa sijarizika nazo??
Dunia haishi maajabu.
Mwambie kama yuko clean asiwe na wasi wasi sheli kupigwa picha.