255mkombozi Senior Member Joined Apr 25, 2013 Posts 106 Reaction score 13 Jun 3, 2016 #1 Habari wana tech naomba mnisaidie kupata shelfu za chuma kama izo kwny picha au km unazo tufanye biz kdg for more help 0757663336 Attachments 1464985443482.jpg 73.1 KB · Views: 92
Habari wana tech naomba mnisaidie kupata shelfu za chuma kama izo kwny picha au km unazo tufanye biz kdg for more help 0757663336
255mkombozi Senior Member Joined Apr 25, 2013 Posts 106 Reaction score 13 Jun 3, 2016 Thread starter #2 Nipo dsm
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,368 Jun 4, 2016 #3 255mkombozi said: Habari wana tech naomba mnisaidie kupata shelfu za chuma kama izo kwny picha au km unazo tufanye biz kdg for more help 0757663336 Click to expand... Nenda Gerezani-Kariakoo zipo za aina na size mbalimbali, zinakuwa ziko kwenye bars (chuma mojamoja), so unanunua pamoja Bolts na nuts zake na unakwenda kufunga mwenyewe kulingana na size/upana wa shelf unaoutaka
255mkombozi said: Habari wana tech naomba mnisaidie kupata shelfu za chuma kama izo kwny picha au km unazo tufanye biz kdg for more help 0757663336 Click to expand... Nenda Gerezani-Kariakoo zipo za aina na size mbalimbali, zinakuwa ziko kwenye bars (chuma mojamoja), so unanunua pamoja Bolts na nuts zake na unakwenda kufunga mwenyewe kulingana na size/upana wa shelf unaoutaka