KevinJazdow
New Member
- Jan 11, 2018
- 4
- 10
Hahaha utaambiwa kafunzwa unyagoni sijui wapi wanapaita.[emoji23]Dah! Sheikh ana balaa kweli kweli. Yaani msimsikilize kabisa. Ukiona umeoa mke halafu ni mtaalam kitandani unapaswa kujiuliza practical amefanyia wapi
Hamkosi la kusema lol!!Nikweli mwanamke mjuuzi wa hayo lazima kwanza atakua na kiburi akijivunia huo upuuziwake kwa akili yake inamtuma kwamba ukimwacha atampagawisha mwingine ili amuoe
ndio nn hyo chief [emoji23][emoji28]Takbir......
Chiiiieeeffff hujui??[emoji12] [emoji12]ndio nn hyo chief [emoji23][emoji28]
1: Awe mtalaam chumbani.
Mtalaam wa mahaba Shekh.
2: Awe hodari jikoni ajue kupika chakula kizuri,
hii wanaweza. Kina mama wengi wanaweza.
Hii ya tatu ndio nzito
3: Awe na lugha tamu hata kama ana hasira,
hiyo ndio kazi Shekh.
Nini maoni yako?
sijui mmChiiiieeeffff hujui??[emoji12] [emoji12]
Nakuja kukuambia....kulee Chief[emoji124] [emoji124]sijui mm
sawa njooNakuja kukuambia....kulee Chief[emoji124] [emoji124]
eti practicle wapi? kwani ulikuta seal?Dah! Sheikh ana balaa kweli kweli. Yaani msimsikilize kabisa. Ukiona umeoa mke halafu ni mtaalam kitandani unapaswa kujiuliza practical amefanyia wapi