Shein na Maalim Seif mambo si shwari!

Shein na Maalim Seif mambo si shwari!

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
2566842_orig.jpg

Dk.Shein-Maalim Seif alipendekeza jina lake kuwa Makamu wa Rais
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema alipokea jina la Maalim Seif Sharif Hamad kutoka Chama cha CUF ili kuliteua kuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar mwaka 2010 baada ya kuwa mshindi wa pili wa nafasi ya urais.
Dk Shein ametoboa siri hiyo juzi wakati akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika huko Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja juzi.

Alisema inashangaza wanapojitokeza baadhi ya watu wanaotaka kuwatisha wenzao wakifikiri kuwa hata watakapovunja sheria serikali itawahofia, kuchekea na kuwatazama kwa macho.Alieleza kwamba kama Rais wa Zanzibar aliyechaguliwa na wananchi hana mtu anaemuogopa ila hupenda kuongoza kwa kufuata na kuheshimu misingi ya sheria za nchi na kufuata dhana ya utawala bora wa sheria.
images
images
​
images

Aidha, Dk. Shein alisema waliingia katika kinyang’anyiro cha kuwania urais wa Zanzibar jumla ya wagombea watano lakini kwa bahati nzuri, Tume ya Uchaguzi Zanzibar ilimtangaza yeye ni mshindi kupitia CCM na kula kiapo cha kulinda na kutetea katiba na sheria.“Nilimwita Maalim Seif Sharif Hamad na kumtaka alete majina ya watu toka chama chake walioteulwa ili kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais,akaniambia ameteuliwa yeye, nikamwambia nenda kaniandikie uniletee kwa maandishi, likaja jina lake tu nikamteua,” alisema Dk Shein.

Hata hivyo Rais huyo wa Zanzibar aliasa kuwa vyama vya hiari vya kijamii, NGO na jumuiya nyingine zikiwamo za dini ambazo zimesajiliwa kwa mujibu wa sheria zisimamie ipasavyo malengo ya kusajiliwa kwake.Alisema si busara kwa jumuiya au chama cha kisiasa kufanya kazi za dini au za dini zikafanywa ni za kisiasa na kuwataka wanaofanya hivyo kuacha kufanya hivyo kabla mikono ya sheria haijawakamata.

Aliwataka wanachama wa CCM kujiandaa toka sasa ili kupata ushindi mwaka 2015 kwasababu wana kila sababu ya kushinda kutokana na kutekeleza vizuri ahadi na kusimamia ilani ya uchaguzi ya chama hicho.
 
MLENGWA WA MLIPUKO ALIKUWA BALOZI WA VATICAN?

(Naona mods wana watu wao wenye haki ya kuanzisha threads, sisi wengine haturuhusiwi)

Ndugu WanaJamvi;

Kwa muda sasa kumekuwa na hoja mbali mbali juu ya uhalali wa uwepo wa Ubalozi wa Vatican hapa Tanzania. Katika hili kuna, kuna pande kuu mbili zinazokinzana - wanaopinga na wanaounga mkono kama ifuatavyo:-

(1) Wanaopinga: wanajenga hoja kwamba kwa kuwa Vatican ni nchi ya kidini (Kikatoliki) na kwa kuwa, kwa mujibu wa Katiba, Tanzania haina dini hivyo sio sahihi kwa "nchi" hiyo kuwa na ubalozi wake hapa nchini. Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi kwamba hawataki kukubali Vatican ni nchi. Hata hivyo "wanalegeza" masharti kwamba kama Vatican ina ubalozi wake hapa basi ni halali kwa Tanzania kama nchi kuwa mwanachama wa taasisi za kidini kama OIC. La kushangaza hapa ni kwamba kwao uhalali wa Ubalozi wa Vatican utakuwepo endapo Tanzania itakuwa mwanachama wa hizo taasisi za kidini vinginevyo sio halali.

(2) Wanaounga mkono:hawa wanajenga hoja kwamba; kwanza Vatican ni nchi huru, yenye mamlaka kamili, na inayojitegemea kwa mujibu wa tafsiri sahihi ya neno "nchi" lilivyo na linavyotambulika kimataifa. Na wanaenda mbali zaidi kwamba sio tu kwamba Vatican ni nchi bali inatambulika hivyo rasmi na UN. Hivyo, kwa hoja hii, ni sahihi kabisa Vatican na Tanzania kuwa na mabalozi wanowakilisha nchi zao.

MLIPUKO WA LEO:

Kati ya viongozi wakuu wa Kanisa waliokuwepo kwenye shughuli ya leo kule Olasiti, Arusha, ni Balozi wa Vatican nchini Tanzania ambaye pia ana hadhi ya Askofu Mkuu. Hivyo zimeanza kuzagaa habari pengine kutokana na ukinzani wa baadhi ya makundi kutotaka Vatican kuwa na ubalozi wake hapa nchini, kuna uwezekano pia mlengwa mkuu alikuwa Balozi husika. Mimi sijui, ila kama GT tudadavue na hili.

LAWAMA:

Lawama pia zimeanza kuelekezwa kwa serikali kwa kutochukua hatua madhubuti na kwa wakati pindi zinapotokea chochoko kama hizi katika jamii. Kwa mfano, hili la upotoshoji wa uhalali wa Ubalozi wa Vatican hapa nchini propaganda zake zimeenezwa kwa muda mrefu sana kwa njia mbalimbali kama mihadhara, ibada, na hata kwenye media mbalimbali. Badala ya serikali kutolea ufafanuzi wa uhalali wa huo ubalozi, imekuwa kimya bila kujali athari za baadaye za propaganda hizi chafu pengine kwa falsafa ya "ni upepo tu utapita". Je, ni kweli serikali inastahili lawama katika hili?

HITIMISHO:

Je, kama serikali ikitekeleza madai YOTE ya haya makundi, kuna uwezekano wa chokochoko hizi kukoma na hivyo nchi yetu kuwa ya amani na utulivu kama ilivyoachwa na waasisi wetu? Lakini je, walengwa wa haya matukio ni wakatoliki peke yao? Au ni pamoja na makundi mengine? Haya matukio yana uhusiano wowote na siasa za nchi yetu? Mimi sijui, nalileta kwenu wakuu.
 
Ndoa ndoano CUF±CCM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Naona uko sahihi, samaki mkunje angali mbichi. Licha ya mzee Mwinyi kujaribu kumnasibu Kikwete na kuhusu masuala ya uchinjaji naona Kikwete anaendelea na kigugumizi kisicho kuwa cha kawaida.

Kauli ya Shein hapo juu inaashiria kwamba kuna chama cha kisiasa kinachojihisisha katika machafuko ya dini nchini.

Mkuu wa nchi mwenye dhamana hatoi tamko ambalo linaonyesha mamlaka yake. Tatizo ni rais legelege na ambaye ameunda serikali legelege na kusababisha machafuko yote haya. Bado pengine makubwa zaidi yaja.
 
485494_647960335221179_1365474310_n.jpg

Mtu mmoja anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuhusishwa na mlipuko wa leo katika kanisa jijini arusha!
 
941559_647910078559538_2076271571_n.jpg
207214_646694622014417_483278521_n.jpg

485494_647960335221179_1365474310_n.jpg

BREAKING NEWS......
Mlipuko mkubwa umetokea katika kanisa Katoliki la Mt. Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasisi Arusha. Watu kadhaa wamejeruhiwa wakati wa ibada ya uzinduzi wa kanisa hilo iliyokuwa ikiongozwa na Balozi wa Papa nchini. jamani wapi tunaelekea???
 
MLENGWA WA MLIPUKO ALIKUWA BALOZI WA VATICAN?

(Naona mods wana watu wao wenye haki ya kuanzisha threads, sisi wengine haturuhusiwi)

Ndugu WanaJamvi;

Kwa muda sasa kumekuwa na hoja mbali mbali juu ya uhalali wa uwepo wa Ubalozi wa Vatican hapa Tanzania. Katika hili kuna, kuna pande kuu mbili zinazokinzana - wanaopinga na wanaounga mkono kama ifuatavyo:-

(1) Wanaopinga: wanajenga hoja kwamba kwa kuwa Vatican ni nchi ya kidini (Kikatoliki) na kwa kuwa, kwa mujibu wa Katiba, Tanzania haina dini hivyo sio sahihi kwa "nchi" hiyo kuwa na ubalozi wake hapa nchini. Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi kwamba hawataki kukubali Vatican ni nchi. Hata hivyo "wanalegeza" masharti kwamba kama Vatican ina ubalozi wake hapa basi ni halali kwa Tanzania kama nchi kuwa mwanachama wa taasisi za kidini kama OIC. La kushangaza hapa ni kwamba kwao uhalali wa Ubalozi wa Vatican utakuwepo endapo Tanzania itakuwa mwanachama wa hizo taasisi za kidini vinginevyo sio halali.

(2) Wanaounga mkono:hawa wanajenga hoja kwamba; kwanza Vatican ni nchi huru, yenye mamlaka kamili, na inayojitegemea kwa mujibu wa tafsiri sahihi ya neno "nchi" lilivyo na linavyotambulika kimataifa. Na wanaenda mbali zaidi kwamba sio tu kwamba Vatican ni nchi bali inatambulika hivyo rasmi na UN. Hivyo, kwa hoja hii, ni sahihi kabisa Vatican na Tanzania kuwa na mabalozi wanowakilisha nchi zao.

MLIPUKO WA LEO:

Kati ya viongozi wakuu wa Kanisa waliokuwepo kwenye shughuli ya leo kule Olasiti, Arusha, ni Balozi wa Vatican nchini Tanzania ambaye pia ana hadhi ya Askofu Mkuu. Hivyo zimeanza kuzagaa habari pengine kutokana na ukinzani wa baadhi ya makundi kutotaka Vatican kuwa na ubalozi wake hapa nchini, kuna uwezekano pia mlengwa mkuu alikuwa Balozi husika. Mimi sijui, ila kama GT tudadavue na hili.

LAWAMA:

Lawama pia zimeanza kuelekezwa kwa serikali kwa kutochukua hatua madhubuti na kwa wakati pindi zinapotokea chochoko kama hizi katika jamii. Kwa mfano, hili la upotoshoji wa uhalali wa Ubalozi wa Vatican hapa nchini propaganda zake zimeenezwa kwa muda mrefu sana kwa njia mbalimbali kama mihadhara, ibada, na hata kwenye media mbalimbali. Badala ya serikali kutolea ufafanuzi wa uhalali wa huo ubalozi, imekuwa kimya bila kujali athari za baadaye za propaganda hizi chafu pengine kwa falsafa ya "ni upepo tu utapita". Je, ni kweli serikali inastahili lawama katika hili?

HITIMISHO:

Je, kama serikali ikitekeleza madai YOTE ya haya makundi, kuna uwezekano wa chokochoko hizi kukoma na hivyo nchi yetu kuwa ya amani na utulivu kama ilivyoachwa na waasisi wetu? Lakini je, walengwa wa haya matukio ni wakatoliki peke yao? Au ni pamoja na makundi mengine? Haya matukio yana uhusiano wowote na siasa za nchi yetu? Mimi sijui, nalileta kwenu wakuu.

Kiongozi kila uzi upo! Wamekusikia, watakufikia!
 
Zanzabar sio nchi mpaka Tanganyika ipate uhuru wake

Dr shein wewe si Kama mwai kibaki umepora ushindi Wa maalim Seif na ushukuru Seif muungwani vinginevyo kingewaka zenji Kama si msaada kutoka bara ungekiwa Makamo
 
Kama shein atakumbuka namna alivyoshinda hawezi kumletea jeuri maalim Seif ni baba Wa Amani ya Zanzibar mungu atakulipa kwa Hilo na ustamilivu wako
 
CCM na CUF Zanzibar ndoa yenu sasa iko majaribuni, ushauri wangu tafuteni mshenga wenu na wazee muweke mambo sawa. Vinginevyo mtapeana talaka tu.
 
Sijaunganisha kichwa na mwili wa habari
 
CCM na CUF Zanzibar ndoa yenu sasa iko majaribuni, ushauri wangu tafuteni mshenga wenu na wazee muweke mambo sawa. Vinginevyo mtapeana talaka tu.

Hata chadema kigoma mmefunga ndoa na ccm mnapokezana umeya znz wameepusha umwagaji Wa damu Kama Chaguzi za nyuma ulizifuatilia au siasa uliingia 2010 baregu si kateuliwa na kikwete ktk tume ya katiba je chadema mmefunga ndoa au we bepari
 
Back
Top Bottom