IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.
Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.
"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.

Asha pewa za tende hapo akili hana anachongelea huko yemeni ule ni ugaidi mbona haongelei Ulaya mfano england france germany nk
Tumekataa tupo na NO REFORMS NO ELECTION
Sudan kipindi wanagawana nchi walikuwa wanapigana ikifika ramadhan wanasimamisha vita, wanafunga na kula futari. Ilivyoisha wakapigana tena
Kila siku wanasingizia Marekani ila chanzo cha ugomvi wote ni waislamu wenyewe.
Wewe ni mpumbavu kiasi gani mtu wa nje tena asiyekuwa imani yako tena unamuita kafiri anakushawishi umuue muislamu mwenzako tena Quran yenyewe inasema muislamu ndugu yake ni muislamu
Kwani kitendo cha wacristo kuruhusu ndoa za jinsia Moja kupitia makanisa yote Duniani sio vurugu? Au ujui kuwa mfumo Cristo ndio chanzo cha machafuko duniani