Sheikh Ponda: Haya ndiyo madai Muhimu ya Waislam...

hii thread haina tija, haya ni marufidio, kuna thred zipo zimeorozesha madai ya waislam kwa asilimia kubwa, huu unaoleta wewe ni ushabiki mods please...!

Hakuna haja ya kuitoa
Weka link ya Hiyo thread ya zamani na wengine tusome
 
Madai yote hayana msingi wowote ni ubinafsi tu unatumika hapa
 

6. Ponda na wahuni wenzake waachiwe huru bila masharti!
 
hilo la kuchinja ngombe na kuondoka na shingo ya ngome ruksaaaaaa, wakristo endeleeni kupeleka watoto shule, wao waendelee kungangania shingo za ngombe
 
Nampa Mungu sifa sikuzaliwa Muislam na sitakuwa muislam .Asannte Mungu
 
6).watu wote wakili kuwa hakuna Mungu ila kuna Allah na Muhammad ndio mtume wake.
 
Nadhani nitapinga hiyo no 5.......anaeamua nyimbo za namna gani zipigwe ndani ya basi ni nani? Na kama nyimbo hazikuvutii usipande hilo basi.......hujalazimishwa....basi ni mali ya mtu binafsi......ingekuwa ya serikali sawa........

Hata Sumry na Mohammed Trans wanaweka kwaya. Kwa taarifa yako watumiaji wengi wa usafiri wa mabasi ni Wakristo. Inaeonekana waislamu hupanda FUSO. Pia wakipiga Kaswida ni waislamu wachache wanaoelewa kiarabu.....nafuu kwaya wanaambulia chochote.....mfano.........Mungu alinena naye Mussa hicho kiatu....................kivue!!!! Au Utamue eeeeeeee utamu wa...........Nimeonja...............au Zunguka zunguka.................... sasa maneno haya wataelewa nini غزال
 
Kwenye sikukuu ya iddi ofisi za serikali zipambwe Kama Xmas
 

Salute
 
Maziko ya wakristo yasifanyike kama ilivyo sasa. Mkristo anazikwa kwa gharama kubwa na huchukua muda mwingi kumzika tangu alipofariki.
 
tukiwaendekeza hawa ili taifa litageuka kama ilivyo somalia, naomba watanzania wenzangu mtambue kua yanayotokea hapa leo ndio yalioifikisha somalia pale ilipo

ivi hawa watu awaoni waislam wenzao hasa kwenye nchi za kiarabu wanavyopata shida,
 
uko tuelekea waislam wataamua kutafuta silaha waanzishe vita, maana madai yao kwanza ni ya kitoto ivyo si dhani kama yatakua na utekelzaji, samahani kama nimewauzi
 
Mie hapo kwenye mahakama ya hakimu mkadhi sitaki,kuchinja wao pekee yao sitaki pia

Toka kwa MrArsenal
 

Ndugu Yangu Watanzania 50% wangekuwa na Busara kama zako naapa pasinge tokea Choko choko kama Hizi wewe ni Mtu mwenye Hekima na Busara ya Hali ya juu sanaaaa, naweza kusema ni mtu wa kizazi cha ajabu uliyoya taanabisha kwa kweli asiye yatia akilini atakuwa Punguani Asante kwa mchango wako Mzuri tujenge Tanzania yetu. Umoja na Undugu wetu Mimi nimeoa Mkristo tena RC Mama yake ni mwana kigango Baba yake Ni Mzee wa Kanisa. Mtoto wa mjomba wangu Kaolewa na Mkristo Madhehebu ya AOG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…