Ponda, CCM watakumaliza. Polisi wakiagizwa lolote na CCM watalifanya.. Hili 100% ni maelekezo ya CCM.. Subiri Pinda au Mwigulu aamke vibaya!!Polisi bado wamsaka
Gazeti hili lilipotaka kufahamu ni kwa nini walisubiri mpaka CCM ilipolalamika ndipo wakatangaza kumsaka Ponda, alijitetea akisema si kweli bali walikuwa wanamtafuta kimya kimya kabla ya malalamiko hayo kutolewa hadharani.
Huku sheikh ponda,kulle bavicha,pale m4c,zanzibar uamsho, mtatoka nyie chama cha mabaomu 2015????
Ponda karibu CHADEMA hakika ni nyumbani kwako.
CCM siielewi na sitaielewa tena.
Sitaki kuchangia uzi huu cause nitaambiwa ni Mdini, ningependa kusikia mawazo ya Faiza Fox, Hamy-D na wengine ambao ni Pro-Magamba at the same time hupendelea masuala ya kidini kujadiriwa jamvini.