Kweli hii kasi imeleta mabadiliko makubwa sana kwa watumishi wa umma, kila mmoja anajitahidi kufuata taratibu na kutenda haki katika eneo lake ili kujiepusha na balaa. Mambo mengi yalikua yanafanyika kwa kuwafurahisha wakubwa au kwa maslahi ya watu flani, hata msiba wa Mawazo polisi wangezuia na kusingetokea chochote.
Sasa hivi lika mtu anatathmini na kuthaminisha maamuzi yake kabla ya kufanya chochote isije ikamrudia.