Babu seya amsubiri yule mgombea mwingine.kale bata na familia yako, Magufuli kakuona bado babu seya
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?Naamini anaweza kudai fidia sasa....Wamemnyanyasa sana mzee wawatu.....
Babu seya amsubiri yule mgombea mwingine.
Halafu magufuli anahusika nini na hukumu ya Leo?
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?
Babu seya amsubiri yule mgombea mwingine.
Halafu magufuli anahusika nini na hukumu ya Leo?
ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.
Kama anaweza kuthibitisha malicious prosecution anaweza kupata fidia, lakini kwa mtazamo wa awali tu kesi hiyo itakuwa ngumu kuthibitisha mahakamani.
Niliwahi kusema hapa Jukwaani kuwa Ponda baada ya Uchaguzi Mkuu ataachiwa huru.
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?
Babu seya amsubiri yule mgombea mwingine.
Halafu magufuli anahusika nini na hukumu ya Leo?
Magufuli hapendi dhulumati na kulipiza kisasi kama yule mwingine.Babu seya amsubiri yule mgombea mwingine.
Halafu magufuli anahusika nini na hukumu ya Leo?