mi mwenyew nikajua hvooHivi Naseeb Abdul si ndo jina halisi la Diamond platnumz.?
Al akhy hakuna mtu anayemdhihaki Allah hazza' wa jallah. Bali tulitaka uweke taarifa kamili ili kuepusha usumbufu kwako na kwa waudhuriaji.
Sidhani kama yupo atakayempigia simu...na kama picha ni yake na jinsi alivyosimama na kujitenguwa udhu ....mmmhhhhhh