Sheikh Naseeb Abdul Ndani Ya Dsm

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Asalaam Alaykum

Twamshukuru allah Leo tukiwa Katika Swaum Ya 5 alhamdulillah

Tangazo Maalum kwa waislam woote

Siku Ya Jmosi Ya mwisho Wa Week Hii

Nitazindua Rasmi Muhadhara wangu Wakwanza
Jijini Dsm

Hivyo Kwa wakaazi Wa dsm Inshaallah Tuwataarifu Nandugu zetu katika Iman tuweze

Hudhuria Katika Muhadhara huo Kujifunza Yale Alio tua amrisha allah Naaliyo tukataza Pia

Kwa Watakao Jaaliwa kufika Wasiliana na No hizi Kupata maelekezo Niwapi Sehemu ya makutano Hayo Na mud

Whats app Nivyema Kuweka Nafasi mapema inshaallah

Ikiwa allah kakujalia pumzi bhaasi Usisite kuja kupata Nasaha
Zitakazo kuza Iman Na kuzi pooza nyoyo zetu inshaallah

Mtaarifu Namwenzio
 
Muhadhara wenyewe nina wasiwasi kama hautapigwa stop, kipindi hichi shida tupu maana tunakoelekea harusi na misiba vitazuiwa
 
Muhadhara wenyewe nina wasiwasi kama hautapigwa stop, kipindi hichi shida tupu maana tunakoelekea harusi na misiba vitazuiwa
Allah Atajalia Kheri Allah ndie

Muamuzi wakila Zito chini Yajua Inshaallah atajalia kheri na Muhadhara utafanyika tu Inshaallah
 
Sijaelelewa
Na huyo sheikh ni wa wapi kama sio kutudanganya
Weka tangazo lieleweke sio unatafuta kiki kupigiwa simu
 
Shukran kwa taarifa
Lkn sasa mbona hunaweka wazi tu kua mhadhara utafanyikia wapi na muda gani?
Kuliko mtu kupiga sim na kuuliza je huoni kua itakua ni usumbufu mkubwa saaana kwako na kwa wahudhuriaji pia
 
Asalam alaykum,
Mimi nashauri kwa kuwa umeweka tangazo hapa basi kamilisha na taarifa pia za muhadhara utafanyika wapi na saa ngapi kuliko kuwapa watu garama(pesa+muda) wa kukupigia simu.
Shukrani
 
Hapo pa kuku WhatsApp ili kuweka nafasi. Ungekuwa muwazi kama kuna kiingilio.

Pia muhadhara ninavyojua mimi huwa kuna kundi la masheikh mnaoshirikiana pamoja kujibu maswali na kuemdeleza mijadala. Je wewe upo alone??

Kama hautajali ningependa kujua CV yako ya deen mpaka umefikia kuitwa Sheikh.

Allah ni jina tukufu. Usiandike kwa herufi ndogo.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Muhadhara huu Unafanyika Katika kumbi Nasi Viwanja

Niburee kabisa lakini Pia lengo La kupiga simu Ni Kujua idadi Ya watakao fika Ili kujua vi Eneo gani litatosha


Tusimdhihaq Allah ndugu zangu
Hakuna mtu Anaepoteza
Mudawake

Kumtumikia Allah
 
Muhadhara huu Unafanyika Katika kumbi Nasi Viwanja

Niburee kabisa lakini Pia lengo La kupiga simu Ni Kujua idadi Ya watakao fika Ili kujua vi Eneo gani litatosha


Tusimdhihaq Allah ndugu zangu
Hakuna mtu Anaepoteza
Mudawake

Kumtumikia Allah

Al akhy hakuna mtu anayemdhihaki Allah azzah' wa jallah. Bali tulitaka uweke taarifa kamili ili kuepusha usumbufu kwako na kwa waudhuriaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom