Sheikh Mustapha Shaban Rajab wa Dodoma: Wabunge watakiwa kuacha kutoa kauli zenye Kumfedhehesha Rais

Status
Not open for further replies.
natamani hata viongozi wetu wa kiislamu wawe na elimu kama wakristo kwani wanatujenga kuwa walalamishi bila kutumia logic,hata ukweli tunaubishia,angalia hata mashuleni hatuna logic ya kubishana ila ubabe,big up mnyika huyo jamaa ni dhaifu pia mdini saaaana sema wakristo wavumilivu tu.i hate unafiki
 
Nadhani sasa tumewavumilia vya kutosha. Sipendi kukashifu dini ya mtu lakini mnakoelekea tutaonana wabaya...
hiii kali. yaani umechukua hiyoooooo na hayo matusi kwa waislam umeyaruka? REDIO IMAAN IPO TUTATOA DUKUDUKU LETU KAMA NYINYI MNAVYOTOA MADUKUDUKU YENU HUMU
 
natamani hata viongozi wetu wa kiislamu wawe na elimu kama wakristo kwani wanatujenga kuwa walalamishi bila kutumia logic,hata ukweli tunaubishia,angalia hata mashuleni hatuna logic ya kubishana ila ubabe,big up mnyika huyo jamaa ni dhaifu pia mdini saaaana sema wakristo wavumilivu tu.i hate unafiki

elimu ya ufisadi mungu awaepushe
 
Mimi ni mwiislamu safi ila nipo tofauti kabisa na bakwata,na nina waomba waiislamu wenza tuipuuze Bakwata sababu wao pia ni DHAIFU kama RAISI na puuzi kama CCM.
 
Mimi ni mwiislamu safi ila nipo tofauti kabisa na bakwata,na nina waomba waiislamu wenza tuipuuze Bakwata sababu wao pia ni DHAIFU kama RAISI.
 
JK ni dhaifu, ameshindwa kutimiza ahadi yake ya 2005 ya kuanzisha mahakama ya kadhi.
 
GOOD GOVERNANCE
Islam:
Quran: 6:151-2
Say: Come, I will rehearse what God hath realy prohibited from you: Join not anything as Equal with God; Be Good to your parents; Kill not your children on a plea of want; We provide sustainance for you and for them; come not nigh to shameful deeds, whether open or in secret; Take not life, which God has sacred, except by way of Justice and Law; Thus doth God Command you, that you may learn wisdom.
And come not nigh to the orphan’s property, except to improve it, until attaining the age of full strengh; give measure and weight with full justice; no burden do God place on any soul, but that which it can bear; whenever you speak, speak justly, even if a near relative is concerned, and fulfil the convenant of God; Thus do the God command you, that you may remember.

Christians
Deuteronomy 16: 18-20 18 Judges and officers shalt thou make thee in all thy gates, which the Lord thy God giveth thee, throughout thy tribes: and they shall judge the people with just judgment. 19 Thou shalt not wrest judgment; thou shalt not respect persons, neither take a gift: for a gift doth blind the eyes of the wise, and pervert the words of the righteous. 20 That which is altogether just shalt thou follow, that thou mayest live, and inherit the land which the Lord thy God giveth thee.

HInduism
“The world looks to the religious bodies for PEACE, BROTHERHOOD, AMITY, TOLERANCE, FAIRNESS AND GUIDEANCE.
Let us stand united to provide a lead to the government on the above matters.”
 
research inaonyesha, wanaochukia ndevu wengi ni mashoga. sijabahatika kumuona shoga akifuga ndevu ktk maisha yangu

Duh! Aisee. nipo hapa,naona unataka upigwe ban au usababishwe watu wapigwe ban. Kwa maana kwa maneno yako hayo umewatukana wanaume wote (wakiwemo rais, makamu,waziri mkuu,mawaziri,majaji,mashehe,mapadre,wanajeshi,polisi,TISS etc.) ambao hawafugi ndevu.

Tafadhali chifu,futa kauli na utuombe radhi.
 
Last edited by a moderator:
ni kuhusu kauli yake kwamba JK ni dhaifu
source: habarileo

MY TAKE
Kama rais ni dhaifu halafu anadumu miaka 7. ni wazi wanaongozwa nao wamechoka mara 1000.
Maana hao waliokuwa wamejikaza hata Ikulu hawaingii mpaka waalikwe kwa barua rasmi.

TUACHE KEJELI KWA WATZ

UPO HAPO WAPI? MICHANGO YAKO INA HARUFU YA ----- KAMA UPO ------- VILE? Halafu unaleta habari za habari leo unalosomea -------.

Unaweweseka na ikulu kana kwamba ndiyo dunia yote; maisha yanaendelea bila ikulu ndugu tafakari chukua hatua
 
Hao viongozi wa dini nao ni dhaifu sana,kwani wameshindwa kutambua kuwa kikwete si malaika.
* wanatumia vitabu vya dini vibaya kwani wanatakiwa kujua dhaifu si tusi,bila shaka kisomo kidogo
*walishindwa kukemea matusi ya lusinde,nchemba kwani hivyohivyo vitabu vya dini vinakataza lugha chafu,bila shaka wanatumiwa.
* wameshindwa kukemea kikundi cha uamsho kwani vitabu vya dini vimepinga uchomaji wa nyumba za ibada,bila shaka hawakujipanga.

*wameshindwa kujua bunge ni sehemu ya siasa,bila sha wanajichanganya.

Mi napenda kusema hawa viongozi wa dini ni wanafiki tu hawana lollote swala la uamsho walijiweka pembeni wakati walihitajika, bila shaka walishindwa kufikiri kwa kina.
 
ni kuhusu kauli yake kwamba JK ni dhaifu
source: habarileo

MY TAKE
Kama rais ni dhaifu halafu anadumu miaka 7. ni wazi wanaongozwa nao wamechoka mara 1000.
Maana hao waliokuwa wamejikaza hata Ikulu hawaingii mpaka waalikwe kwa barua rasmi.

TUACHE KEJELI KWA WATZ

mlianza na mandamano leo umekuja na viongozi wa dini, kesho mtakuja na ukabila,. Heheheee wafwasi wa chama dhaifu bwana
 
Hapa ndipo mtu anapodhihiri ubongolala wake! Tushawapeni siri kuwa someni ndugu zetu, mkasome na muishike elimu, hebu angalia, wenzenu wanafuga ng'ombe nyie mnafuga ndevu! Tena chafu kwa kula madafu, kahawa, pilau! You guys are disgusting creatures! Mnamlaani Mnyika sababu kamsema mpenda ubwabwa mwenzenu? Kweli hamna maana bora tuwahamishe mkawe watumwa wa waarabu! Nafahamu ni jinsi gani muislam anakuwaga na furaha akiwa na bosi mwarabu! Hata kama hakuna mshahara, anatumwa hadi sokoni lenyewe na kikofia chake linafurahia tu! Majitu mengine bana!
Ama kweli BANGI za kujifunzia ukubwani nooma.
 
Siasa na dini havihusiani kabisa, na Ikulu sio mahali patakatifu, kusema ni Kanisa au Msikiti.
Kwa ufahamu zaidi Ikulu inamuhusu kila mtanzania, wa kila umri kuingia pale bila mwaliko.
Na kueleweshwa na kufahamishwa utendaji wa kazi zinazohusu nchi.
Inahitajika kila mwaka itengwe siku maalum, kwa milango ya Ikulu kuwa wazi, kuwaruhusu
wananchi kutembelea na kuelewa nini kinachofanyika Ikulu, kwa mtendaji mkuu mwenye
dhamana anayetuongoza Watanzania.
 
Mnalumu JK. kumbe mnasahau. matatizo ya tz inatokana na CCM kulibeba kanisa badala ya tz.
haya mapesa ya MOU yanayliwa na makanisa yangalitumika kwa watz kupitia serekali. tz ingalikuwa mbali sana.nangoja katiba mpya nilizungumze hili kwa upana ili tz tuendelee

Vipi kuhusu yale yanayoliwa na Aghakhan? Hayajaturudisha nyuma?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom