Sheikh Mustapha Shaban Rajab wa Dodoma: Wabunge watakiwa kuacha kutoa kauli zenye Kumfedhehesha Rais

Status
Not open for further replies.
Hao viongozi wa dini wametua nchini leo? na kama jibu ni hapana, wana maoni gani kuhusu Lucinde kuanzia Arumeru hadi Dodoma?

Nnaungana na wewe mkuu kwa 100% hilo ni swali zuri,sidhani Kama watakuwa na majibu yake.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hao viongozi wa dini wametua nchini leo? na kama jibu ni hapana, wana maoni gani kuhusu Lucinde kuanzia Arumeru hadi Dodoma?

Mkuu umenena ukweli mtupu na big up ningekua na PC ningekuangushia zinga la like
 
  • Thanks
Reactions: FJM
wamelifanyinyia nini taifa? Maji hamna, tz maskini, rushwa imejaa. Matibabu ovyooo. Watoto wanabakwa? Hawakurupuki wanakula mali za watz? Kama unataka uwapime kama wapo kwa maslahi yao. Ondosha kodi ya misamha ya kodi yao. Kama hawatatoka kipovu

Red: Hayo ndio aliyokuwa anazungumzia Mnyika. Tumefika hapo kwa Sababu jamaa ni Dhaifu. Mbona unashindwa kujenga hoja zako??
 
Usiende nje ya mstari. Wale sio viongozi wote bali ni wenzetu wapenda kulialia.

tatizo la serekali ya CCM inamwaga mapesa mengi kwenye makanisa kwa kisingizio Cha MOU?
pesa hizi wangaliwekeza ktk sekta ya Elimu kwa taifa. nchi ingalikuwa mbali.
sijaona kanisa duniani likangoza nchi pakwa panamafanikio
 
Kwani Askofu peter mwamasika askofu mstaafu wa KKT ni uamsho naye....?

http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/966-viongozi-wa-dini-walaani-kauli-ya-mnyika

Uyo Askofu itakuwa MUAMSHO labda. Naona wakiristo wamemuona shekhe wa dodoma tu, uyo peter haonekani! Wakiristo wanachekesha sana :D
 
tatizo la serekali ya CCM inamwaga mapesa mengi kwenye makanisa kwa kisingizio Cha MOU?
pesa hizi wangaliwekeza ktk sekta ya Elimu kwa taifa. nchi ingalikuwa mbali.
sijaona kanisa duniani likangoza nchi pakwa panamafanikio

JK ni kanisa????
 
wengi wanakimbia historia ya tz. wanabaki kulaumu marais tu. Mnyika mtoto mdogo tu kisiasa. hasomi historia kwanini tz imekuwa maskini ya kutupwa. aje kwangu nimpigie historia. mengine ukiandika JF unaweza ukapigwa ban . kwa ufupi MFUMO KKRISTO ndio msingi wa matatizo yetu. tukifanikiwa kuondosha. tz itangara
 
Viongozi gani wa dini hao???kikwete jakaya ni dhaifu kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo la serekali ya CCM inamwaga mapesa mengi kwenye makanisa kwa kisingizio Cha MOU?
pesa hizi wangaliwekeza ktk sekta ya Elimu kwa taifa. nchi ingalikuwa mbali.
sijaona kanisa duniani likangoza nchi pakwa panamafanikio
Waislam na shule ni sawa na mbingu ilivyojitenga na ardhi! Mtaendelea kulalamika hadi lini???
 
mnyika haujui historia ya Tz. anakurupuka

Wewe unajua historia ya Tanganyika? unakurupuka.

avatar19606_3.gif
 
ni kuhusu kauli yake kwamba jk ni dhaifu
source: Habarileo

my take
kama rais ni dhaifu halafu anadumu miaka 7. Ni wazi wanaongozwa nao wamechoka mara 1000.
Maana hao waliokuwa wamejikaza hata ikulu hawaingii mpaka waalikwe kwa barua rasmi.

Tuache kejeli kwa watz

viongozi wa dini wako wengi, na dini ziko nyingi, na kila dini ina mungu wake, yupo anayekubali laana, yupo anayeziona ni upuuzi tu, laana zilifanya kazi zamani. Ni bora uwataje
 
Dawa ya wajinga ni kuwapuuza tu kwa sababu wanaumwa na ujinga wao wa kutopenda shule!
 
Hao viongozi watakua wa ile dini kama ya kule Zenji wanaoleta chokochoko za Uamsho na hapa Dar kuna hawa BAKWATA nao inawezekana nao wametoa hili Tamko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom