one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Kasema kama nani? Mawazo yake binafsi au anasema kama kiongozi wa dini? Kama kiongozi wa dini basi alete na ushahidi wa meneno yake. Maana hata Nabii wetu hajawahi kusema maneno haya maana kuna vijana wana kazi lakini hazilipi kipato kidogo wasiowe. Siki hizi hata harusi za wenye uwezo ni michango. Labda tuseme tuacheni tabia za kuchangia harusi. Una uwezo fanya kwa kadri ya uwezo wako ili ilete uhalisia wa maiaha baada ya ndoa. Hapo ni kuwa aseme katamka hivyo kama nani? Kwa uelewa wangu mdogo kapotosha maana asipo owa atazini au azalishe binti wa watu.. watu ni kustiriana na anaweza kuowa Mungu akafungua rizki kwa njia ya mke. Tatizo la mashekh hawa mara kuongelea hata kina Wema sepetu. Lazima ajijuwe nafasi yake kama Shekh wa kidini.