PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunaunga mkono mchakato wa maridhiano ya kitaifa yaliyopendekezwa na Rais

PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunaunga mkono mchakato wa maridhiano ya kitaifa yaliyopendekezwa na Rais

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amesema wanaunga mkono mchakato wa maridhiano ya kitaifa yaliyopendekezwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania n kuwa wapo tayari kama jumuiya kushiriki na kuchangia kikamilifu kwakuwa wanaamini maridhiano ni sehemu ya maadili ya dini ya kiislamu


 
Back
Top Bottom