Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 260
- 998
Tatizo linakuja pale Sheikh anapokuwa mwanachama na mkereketwa wa chama cha siasa. Mtume hakuwa hivyoMakamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.
Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5, 2025 na kuhudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dar es Salaam, Sheikh Mawinda ambaye pia ni kada wa CCM, alisisitiza umuhimu wa amani, akirejea kauli aliyowahi kuitoa Lissu ya kukinukisha na kusema kuwa amefikishwa mahakamani ili kuipima. "Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama," alisema.
Soma zaidi: Sheikh Mawinda
Lakini akizungumza na The Chanzo leo, Sheikh Mawinda amesema hakumaanisha kuwa Lissu auawe.
Sikiliza:
View attachment 3398020
Tunajua Uislam Umesimamq kwa Upanga na Damu. Na ndio maana Muslims are aggressive . Hata Saudia, ukizini unanyongwa, nchi za Kiarabu wanauana sana. So shekh punguza Utetezi sisi wengine tulikuelewa…… ni moja katika Mafundisho yenu kiiman. Baadh ya Verse za Quran zina entertain wars …. Mfano vita vya Badr etc etc ….. Malaika walikuwa wanakata Shingo makafiriMakamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.
Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5, 2025 na kuhudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dar es Salaam, Sheikh Mawinda ambaye pia ni kada wa CCM, alisisitiza umuhimu wa amani, akirejea kauli aliyowahi kuitoa Lissu ya kukinukisha na kusema kuwa amefikishwa mahakamani ili kuipima. "Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama," alisema.
Soma zaidi: Sheikh Mawinda
Lakini akizungumza na The Chanzo leo, Sheikh Mawinda amesema hakumaanisha kuwa Lissu auawe.
Sikiliza:
View attachment 3398020
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.
Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5, 2025 na kuhudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dar es Salaam, Sheikh Mawinda ambaye pia ni kada wa CCM, alisisitiza umuhimu wa amani, akirejea kauli aliyowahi kuitoa Lissu ya kukinukisha na kusema kuwa amefikishwa mahakamani ili kuipima. "Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama," alisema.
Soma zaidi: Sheikh Mawinda
Lakini akizungumza na The Chanzo leo, Sheikh Mawinda amesema hakumaanisha kuwa Lissu auawe.
Sikiliza:
View attachment 3398020
Mehemko, ukishakuwa sheikh au position yoyote ya juu lazima uwe na brake, seems like hanaTatizo linakuja pale Sheikh anapokuwa mwanachama na mkereketwa wa chama cha siasa. Mtume hakuwa hivyo
Arudi Kawe Jumapili akawafafanulie waumini wa MwamposaMakamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.
Maelezo yakiwa mengi ujue kuna shidaArudi Kawe Jumapili akawafafanulie waumini wa Mwamposa
Alibweteka kwakuwa mwenyekiti wake alikuwepo, sasa hayupo anaanza kujinyeaMaelezo yakiwa mengi ujue kuna shida
hallucinationMakamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.